MTV MBONGO
JF-Expert Member
- Feb 18, 2016
- 1,281
- 1,251
Wengi wanaroga sana,ndio mana wanajiaminiWadau hawa jamaa wanashiriki mno ktk wizi WA ardhi kwa makusudi. Mbona sisikii wakifungwa au walau wakipandishwa kizimbani?
Yaani hata akijua mahali ni open space au palishauzwa, maadam tu wamekuja watu wanataka kuuziana, anasaini, anatia mihuri anaomba 10% anasepa. Wanaogopwa? Kunani? Wengi wanalizwa.
Na nyinyi wanasheria hamna huruma, gharama kubwa kakiwanja, kashamba kadogo.Kwasababu mnajipeleka wenyewe, fuata taratibu sahihi za kununua kiwanja.
Wanasheria tupo mnaona hatuna umhimu.
Pambana na hali zenu.
Kwasababu kubwa tatu.Wadau hawa jamaa wanashiriki mno ktk wizi WA ardhi kwa makusudi. Mbona sisikii wakifungwa au walau wakipandishwa kizimbani?
Yaani hata akijua mahali ni open space au palishauzwa, maadam tu wamekuja watu wanataka kuuziana, anasaini, anatia mihuri anaomba 10% anasepa. Wanaogopwa? Kunani? Wengi wanalizwa.
Mwanasheria anajuaje eneo Fulani ni open space au lilishauzwa??Kwasababu mnajipeleka wenyewe, fuata taratibu sahihi za kununua kiwanja.
Wanasheria tupo mnaona hatuna umhimu.
Pambana na hali zenu.
Nanyi pia ni chanzo cha utapeli kwa baadhi yenu.Kwasababu mnajipeleka wenyewe, fuata taratibu sahihi za kununua kiwanja.
Wanasheria tupo mnaona hatuna umhimu.
Pambana na hali zenu.