Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujui maana ya shina!!??Mashinani maana yake ni nini?Tuanzie hapo kwanza.
Kumbe. Mbona hakuna logic sasa.Hujui maana ya shina!!??
ni kama kitongoji
Mashinani/vitongoji
1. shina1 nm ma- [li-/ya-] stem, tree trunk.Mashinani maana yake ni nini?Tuanzie hapo kwanza.
Ipo manake ni chama kilichotapakaa kwenye grass root/kinaanzia chini kabisa huko ndio kuna wanachama wengiKumbe. Mbona hakuna logic sasa.
Mtaji wa wanasiasa ni wananchi wenye hali za chini, wanaojiona kila siku wana shida wanahitaji misaada.Kumbe. Mbona hakuna logic sasa.
Grassroots = MashinaniKumbe. Mbona hakuna logic sasa.
Hiki chama kilianzishwa na Isaack Ruto,alipokuwa Gavana,tangu aliposhindwa kwenye uchaguzi,hiki chama kimefifia sana.
Hapana, Marekani vyama ni vingi. Mbili ndio popular.Mbona Marekani vyama ni viwili tu, mambo yako vizuri kuliko kuwa na utitiri wa vyama vingine havina hata hadhi ya kuitwa vyama vya siasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kanye West ana chama kinaitwa 'Birthday Party' na aligombea Urais uchaguzi uliopita.Mbona Marekani vyama ni viwili tu, mambo yako vizuri kuliko kuwa na utitiri wa vyama vingine havina hata hadhi ya kuitwa vyama vya siasa.
So what about CCM?Hiki chama kilianzishwa na Isaack Ruto,alipokuwa Gavana,tangu aliposhindwa kwenye uchaguzi,hiki chama kimefifia sana.
William Ruto ambaye kwa sasa ndio Deputy president,Alikuwa kwenye chama Cha Jubilee yeye na Raisi Uhuru,na ndio chama kilichowaingiza Madarakani.
Tangu wameshindwana,William Ruto yupo kwenye chama Cha UDA,ambacho anategemea kukitumia katika kugombania Uraisi hapo mwakani august 2022.
Wanachama wengi,wabunge wanaomuunga mkono William Ruto,nao wamejitoa Jubilee na wapo UDA.
Good, ula soma hiko kipeperushi chao kwa ndani then come back tuje tujadili why CCM!.Hicho chama cha CCM Kenya kipo toka zamani labda kama hujui siasa za kenya. Na muasisi wa chama hicho ni Isack Ruto.
Kusema CCM Kenya imeanzishwa juzi sio sawa.
Wanataka kujiunga na UDA chama ambacho kimeasisiwa na William Ruto kwenye uchaguzi mkuu 2022
Kwani si chama cha mashinani (CCM) nyie cdm mnateseka nn??