Kwanini William Ruto kaanzisha chama kiitwacho CCM?

Kipo toka mwaka gani ? Je ccm ya tz na hiyo ya kenya ipi ilitangulia ? Maana swali lilikuwa siyo muda wa chama bali kwanini ccm
 
kichwa cha mada kisomeke

Kwanini Isaac Ruto kaanzisha chama kiitwacho CCM?​

maybe atakua kakopia kutoka Tz. 😁😁😁
 
Mbona Marekani vyama ni viwili tu, mambo yako vizuri kuliko kuwa na utitiri wa vyama vingine havina hata hadhi ya kuitwa vyama vya siasa.
Wana vyama zaidi ya 2 isipokuwa hivyo viwili ndivyo vyenye nguvu.
Vingine ni kama ADA-TADEA tu huku kwetu[emoji4]
 
Hyo Ccm ni Chama cha muda sasa,
Isaac alimpinga Ruto akaungana na akina Raila akaangushwa 2017 na Marehemu Madam Joyce Laboso pale Bomet

Sasa hivi amejifunza, yupo na Ruto!

Hiki ni Chama kidogo sana na kipo hasa katika County/Mkoa mmoja wa Bomet.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…