Kwanini wimbo wa Hamisa Mobetto hauchezwi kwenye redio station mbalimbali nchini?

Lord Diplock MR

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2015
Posts
1,393
Reaction score
3,237
Baada ya mwanamitindo Hamissa Mobetto kuachia wimbo wake uitwao madam hero nimejaribu kufuatilia kwenye redio station mbalimbali sijasikia hata moja inayoucheza wimbo huo.

Hii ni ishara mbaya sana kwa mwanadada huyu ni kama media zimemtenga najua wengine watasema labda hajapeleka wimbo wake kwenye redio station husika jambo ambalo kwangu siyo sababu ya msingi. Kuna wasanii Maarufu wengi ambao nyimbo zao hawazisambazi kwenye media zote lakini media husika still zinaplay nyimbo husika.
Media za bongo acheni dharau ohoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…