leodigardcyrilo
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 3,340
- 1,748
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anapenda waganga jamani mimi nilijuaga wanamsingizia.Hapa hamisa kazidi kuharibu,, sijui kwann anapenda waganga
Kaumbuka,,😂😂😂Anapenda waganga jamani mimi nilijuaga wanamsingizia.
Kuna ushahidi wowote? Au ni story tu za kupikwaAnapenda waganga jamani mimi nilijuaga wanamsingizia.
Anapenda waganga jamani mimi nilijuaga wanamsingizia.[/QUOTE
sasa umeamini vip ni kweli?
mkuu kwani ukienda disco lazma waweke mziki unao penda wewsitochosha maskio yangu kusikiliza upuuzi wa hamisa aya disko wakipiga huo wimbo nahama club
Kila siku nyimbo mpya zinatolewa kwa hiyo ni juhudi ya msanii ku promoti wimbo wakeBaada ya mwanamitindo Hamissa Mobetto kuachia wimbo wake uitwao madam hero nimejaribu kufuatilia kwenye redio station mbalimbali sijasikia hata moja inayoucheza wimbo huo.
Hii ni ishara mbaya sana kwa mwanadada huyu ni kama media zimemtenga najua wengine watasema labda hajapeleka wimbo wake kwenye redio station husika jambo ambalo kwangu siyo sababu ya msingi. Kuna wasanii Maarufu wengi ambao nyimbo zao hawazisambazi kwenye media zote lakini media husika still zinaplay nyimbo husika.
Media za bongo acheni dharau ohoo
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣🤣,labda kwa copy ya Tz lkn c hii Tanzania ya vwandaWatu mnadharau sana siku Hamissa Mobetto akiwa msanii mkubwa mtazificha wapi sura zenu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wimbo mbovu hajui kuimbaMedia za bongo acheni dharau ohoo
Sio dharau mkuu, tatizo badala ya kuandika mashairi yee kaandika story halafu ile story akawa anaisoma kwa kuimba.Watu mnadharau sana siku Hamissa Mobetto akiwa msanii mkubwa mtazificha wapi sura zenu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe mobeto nae mwanamuziki siku hizi!!!
Kahaba mkubwa ?? Au msanii mkubwa??Watu mnadharau sana siku Hamissa Mobetto akiwa msanii mkubwa mtazificha wapi sura zenu?
Sent using Jamii Forums mobile app