Kwanini wimbo wa Hamisa Mobetto hauchezwi kwenye redio station mbalimbali nchini?

Mbona wimbo wake mzuri tu,unasikilizika unaeleweka ,mashairi katunga mtu anayejua na producer pia kamfanyia kazi yake vizur,labda upepo tu haujakaa sawa
 
Apeleke kwa hawara station wataicheza asubuhi mpaka kesho yake asubuhi nonstop

#utakula kiburi yako.
 
Tena usijaribu kuuweka hapa...

Kale ka mdomo kamekaa kama nguchiro unategemea sauti iweje...!??
 
Kila siku nyimbo mpya zinatolewa kwa hiyo ni juhudi ya msanii ku promoti wimbo wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…