Kwanini wo wo wo na si sehemu nyingine, tujadili karibuni

Kwanini wo wo wo na si sehemu nyingine, tujadili karibuni

Kwani ukiwa kitandani wowowo inakupa raha gani kwa wale wasio wapenzi wa 0713 sidhani kama kuna hoja hapa, wowowo ni kuangalia kwa macho tu ila kwenye mchezo hauongezi kitu wataalam waje waseme raha wanaoipata kwenye wowowo wakiwa bed kama hamna basi wasipoteze muda kuangalia
Oscillations wakati ukiwa kwenye mbuzi kagoma style, inalete mzuka
 
Wakuu wanajamvi,wake kwa waume,wababa kwa wamama , lladies and gentlemen km mm,wachuma ulete na watafutaji
Habari ya kwenu!
Me niko poa.

Jion ya leo imenipendeza kuwashirikisha hili swala la kwann wo wo wo immekua sehem maarufu na pendwa zaidi ktk mwili wa mwanamke kuliko hata papuchi.
Nawaza hivi kwann isingekua
*macho au
*midomo
*miguu
*nywele
*masikio
*matiti(kifuan saa 6)

Ila wo wo wo aka kishundu aka mkia aka makalio aka wezede aka mlima kitonga imekua kivutio,hivi nn kilitokea kwny akili zako ww mwanaume mwenzangu unaesoma hapa mpaka ukapenda makalio na si vingine!!!!
Au labda ni wahenga ndo wametulisisha huu mchezo mchafu.
Au kwako wewe mdada kwann uongeze makalio na si pua ama kichwa
Wowowooo, Nyungu, Kichuguu ndio Habari ya MUJINI. Raha ya mwanamke kwetu ni TAKO hasa ukilichapachapa kwa Kofi laini huku ukilitomasa
 
Kuna utafiti wa kisayansi wa Oxford ulioona kwamba wanawake wenye wowowo kubwa huzaa watoto wenye akili zaidi.

Inaendana na habari za wowowo kubwa kuwa na tundkali za mafuta zaidi ambazo zinasaidia kukua ubongo or something like that.

Kwahiyo tume evolve kuwatamani hao ili kupata watoto wenye akili zaidi.

Kwa habari zaidi soma hapa

Scientists Say That Women With Bigger Butts Give Birth To Smarter Kids
Ndugu tamaa hii ya kugeuka likipita wowowo lina uhusiano na kuwaza kupata watoto kwel wakat raia wanawaza ngono
 
Kuna utafiti wa kisayansi wa Oxford ulioona kwamba wanawake wenye wowowo kubwa huzaa watoto wenye akili zaidi.

Inaendana na habari za wowowo kubwa kuwa na tundkali za mafuta zaidi ambazo zinasaidia kukua ubongo or something like that.

Kwahiyo tume evolve kuwatamani hao ili kupata watoto wenye akili zaidi.

Kwa habari zaidi soma hapa

Scientists Say That Women With Bigger Butts Give Birth To Smarter Kids
Mmh,sisi waafrika hasaa wenye mishepu mibantu na ma wowowoo tumegundua nin!??
 
Back
Top Bottom