Kwanini Wokosoaji wa CCM wanaishambulia kutokea Mafichoni tofauti na Gachagua wa hapo Kenya?

Nauliza tu maana hakuna anayeikosoa CCM akiwa hadharani labda yule mchagga tu Mchungaji Malisa

Sasa kwanini kama ni Ukweli utolewe huku Watoaji Ukweli huo wamejificha?

Ni hilo tu

Mlale unono kesho Dominica πŸ˜„πŸ™
Ukikosoa hadharani huku malawi unanyakuliwa kama kifaranga cha kuku.
 
Nauliza tu maana hakuna anayeikosoa CCM akiwa hadharani labda yule mchagga tu Mchungaji Malisa

Sasa kwanini kama ni Ukweli utolewe huku Watoaji Ukweli huo wamejificha?

Ni hilo tu

Mlale unono kesho Dominica πŸ˜„πŸ™
Hilo swali nimeuliza leo kwa ndugu mmoja, amesema watanzania ni waoga. Umeona Prof. Kabudi aka Profesa wa jalalani. Leo anashupaza mishipa kuitetea CCM, miaka minane iliyopita kabla hajaokotwa jalalani alisema CCM haiwezi shinda labda waibe kura kama walivyozoea kuiba. leo anasema hakuna wakumlinganisha na CCM .....Ama kweli pesa sabuni ya roho. Ameshasahau aliyoyasema mwanzo.
 
Nauliza tu maana hakuna anayeikosoa CCM akiwa hadharani labda yule mchagga tu Mchungaji Malisa

Sasa kwanini kama ni Ukweli utolewe huku Watoaji Ukweli huo wamejificha?

Ni hilo tu

Mlale unono kesho Dominica πŸ˜„πŸ™

Ili afunguliwe mashitaka au apotee? Common, what do you want to prove?

CCM kuna watu wanaishi sio sababu ya kupenda Tanzania...ila wafanye chochote wanachoweza ili waendelee kula kwa upole.

Wengine tumecheza chipukizi. Tuimba sana wakati wa chama kushika hatamu. Hatuelewi haya yanayoendelea.

Mengi hayana afya kwa chama. Yananufaisha wababaishaji
 
Nauliza tu maana hakuna anayeikosoa CCM akiwa hadharani labda yule mchagga tu Mchungaji Malisa

Sasa kwanini kama ni Ukweli utolewe huku Watoaji Ukweli huo wamejificha?

Ni hilo tu

Mlale unono kesho Dominica πŸ˜„πŸ™
Mama ni mroho wa damu
 
Hapa shamba la bibi una KATIBA??? KENYA WANA KATIBA NZURIII SANAA SANAAAAAA

KENYA WANA WASOMI NA ELIMU NZURIII SANAA SANAAAAAA KULIKO SISI NA WASOMI WETU WA JALALANI.

KATIBA YA TANZANIA VS KATIBA YA KENYA πŸ™Œ

Umenikumbusha mwenyekiti wa tume ya Kenya 2007 SAMUEL KEVUITU
 
Nauliza tu maana hakuna anayeikosoa CCM akiwa hadharani labda yule mchagga tu Mchungaji Malisa

Sasa kwanini kama ni Ukweli utolewe huku Watoaji Ukweli huo wamejificha?

Ni hilo tu

Mlale unono kesho Dominica πŸ˜„πŸ™
Kwa sababu CCM ni wauaji
 
Malissa ni Mchungaji, anaouhakika wa mbingu. Hana hofu hata wakimuwahisha huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…