Kwanini Wokosoaji wa CCM wanaishambulia kutokea Mafichoni tofauti na Gachagua wa hapo Kenya?

Kwanini Wokosoaji wa CCM wanaishambulia kutokea Mafichoni tofauti na Gachagua wa hapo Kenya?

Nauliza tu maana hakuna anayeikosoa CCM akiwa hadharani labda yule mchagga tu Mchungaji Malisa

Sasa kwanini kama ni Ukweli utolewe huku Watoaji Ukweli huo wamejificha?

Ni hilo tu

Mlale unono kesho Dominica 😄🙏
Ina maana kweli huelewi sababu au ndiyo hang'over ya pombe chafu inakusumbua ?
 
Hili swali muulize mawazo,mpolepole,tundu lisu na mzee kibao aliyeuawa tegeta..........na kauli mbiu ni KIFO NI KIFO TUU
 
Kifo ni kifo tu...


Cc: Mahondaw
Kwa sababu wakikosoa tu kidogo hata kama jambo ni la kweli, Police wanawavamia na kuwapiga, kuwateka na kuwapoteza. Hakuna haki nchi hii. Kenya angalau unaweza ukamsema rais na ukawa salama, hilo nunda la kwetu zimwi, Chura-Kiziwi ukimtaja hata kama amefanya kitu.....Unapotezwa sijui ana matatizo gani ya akili? Amepiga picha na mzimbabwe na siyo picha za kuchora, zimeletwa hapa JF, kwenye hili jukwaa huru na wala siyo JF wametoa, tayari wamefungiwa.
 
Back
Top Bottom