Kwa sababu wakikosoa tu kidogo hata kama jambo ni la kweli, Police wanawavamia na kuwapiga, kuwateka na kuwapoteza. Hakuna haki nchi hii. Kenya angalau unaweza ukamsema rais na ukawa salama, hilo nunda la kwetu zimwi, Chura-Kiziwi ukimtaja hata kama amefanya kitu.....Unapotezwa sijui ana matatizo gani ya akili? Amepiga picha na mzimbabwe na siyo picha za kuchora, zimeletwa hapa JF, kwenye hili jukwaa huru na wala siyo JF wametoa, tayari wamefungiwa.