Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 3,078
- 5,882
Sasa kati ya mamelody na Alhaly nani amechukua ubingwa..mamelody ni mbovu hajafika hata finalTunakumbushana kidogo kwamba msimu uliopita mashabiki wa Simba waliomba usiku na mchana wasipangiwe Mamelodi na wakaomba Yanga ndio ipangiwe Mamelodi ili wapigwe nyingi. Wao wakamtaka Al Ahly ili safari yao iwe nyepesi. Mambo yalikuwa hiviView attachment 3100344
Wangekuwa wabovu wasingeshiriki club bingwa wangebaki shirikisho huko.Hapo vip!!
Za ndanii yanga kwa kumtumia Engineer na nafasi yake aliyokuwa nayo huko CAF nasikia anaenda kuhonga na kuomba wapangiwe timu mbovu na dhaifu.
1. Vital O wale ni wakimbizi hata uwanja hawana maskini,image wamecheza na Pamba wakafungwa,ni timu ambayo kwa ubora haitatofauti na Mbeya city,lipuli ya Iringa n.k nikujipigia tu.
Lakini pia hata wakicheza nao hawajiamini wanamuhonga muamuzi wawape kadi nyekundu ndio maana mechi zote Vital O wamepewa kadi nyekundu wakacheza pungufu yasni 8 au 9 uwanjani image pamoja na ubovu wote ila bado wanacheza pungufu.
2. EBC SA ya Ethiopia ni mbovu mbovu hata mashabiki maskini hawana na rank zao katika ubora barani Afrika wapo kwe mia huko chini nakuendelea,pia ndio wale wale kama Vital O
Yanga angekutana na Apr na PYRAMIDS angesha aga mashindano muda mrefu.
Ndio maana watu wanaosema yanga ni bora ni watu wasiojielewa. Yanga ni mbovu sana tena sana kiasi kwamba ingekutana na Ally ALHALY TRIPOLI wangefungwa sio chini ya goli 7.
Ligi kuu Tanzania inachezeshwa na waamuzi wanaoipa timu mbovu ushindi kwasababu ya bahasha,ujinga,ushabiki na chuki,gms amefadhili timu 7 zinazomkusanyia yanga point..ubingwa wa yanga ni wamagumashi sio kwa ubora..image yanga ameshafungwa na kagera,prison n.k ila waamuzi wakaamua kuibeba yanga ..ubingwa wa yanga asilimia 80 ni ya waamuzi sio wa yanga kama yanga.Wangekuwa wabovu wasingeshiriki club bingwa wangebaki shirikisho huko.
Hao Al Ahly amecheza na Yanga na kashinda goli moja pekee tena wakiwa nyumbani kwao vipi wewe alikupiga ngapi?Sasa kati ya mamelody na Alhaly nani amechukua ubingwa..mamelody ni mbovu hajafika hata final
Tatizo la club ya sìmba ujuaji mwingi. .mnacheza soka kwa midomoHapo vip!!
Za ndanii yanga kwa kumtumia Engineer na nafasi yake aliyokuwa nayo huko CAF nasikia anaenda kuhonga na kuomba wapangiwe timu mbovu na dhaifu.
1. Vital O wale ni wakimbizi hata uwanja hawana maskini,image wamecheza na Pamba wakafungwa,ni timu ambayo kwa ubora haitatofauti na Mbeya city,lipuli ya Iringa n.k nikujipigia tu.
Lakini pia hata wakicheza nao hawajiamini wanamuhonga muamuzi wawape kadi nyekundu ndio maana mechi zote Vital O wamepewa kadi nyekundu wakacheza pungufu yasni 8 au 9 uwanjani image pamoja na ubovu wote ila bado wanacheza pungufu.
2. EBC SA ya Ethiopia ni mbovu mbovu hata mashabiki maskini hawana na rank zao katika ubora barani Afrika wapo kwe mia huko chini nakuendelea,pia ndio wale wale kama Vital O
Yanga angekutana na Apr na PYRAMIDS angesha aga mashindano muda mrefu.
Ndio maana watu wanaosema yanga ni bora ni watu wasiojielewa. Yanga ni mbovu sana tena sana kiasi kwamba ingekutana na Ally ALHALY TRIPOLI wangefungwa sio chini ya goli 7.
Tunakumbushana kidogo kwamba msimu uliopita mashabiki wa Simba waliomba usiku na mchana wasipangiwe Mamelodi na wakaomba Yanga ndio ipangiwe Mamelodi ili wapigwe nyingi. Wao wakamtaka Al Ahly ili safari yao iwe nyepesi. Mambo yalikuwa hiviView attachment 3100344
Msimu ulioisha hakuna timu yoyote kwenye mashindano ya klabu bingwa iliyoweza kugusa nyavu za Al Ahly zaidi ya Yanga pekee. Ni Yanga pekee ndio iliyoweza kuharibu clean sheet ya Al Ahly timu zingine zote zimemshindwa. Chukua hiyoSasa kati ya mamelody na Alhaly nani amechukua ubingwa..mamelody ni mbovu hajafika hata final
Hili swali nimejiulizaga mara nyingi mno.Hapo vip!!
Za ndanii yanga kwa kumtumia Engineer na nafasi yake aliyokuwa nayo huko CAF nasikia anaenda kuhonga na kuomba wapangiwe timu mbovu na dhaifu.
1. Vital O wale ni wakimbizi hata uwanja hawana maskini,image wamecheza na Pamba wakafungwa,ni timu ambayo kwa ubora haitatofauti na Mbeya city,lipuli ya Iringa n.k nikujipigia tu.
Lakini pia hata wakicheza nao hawajiamini wanamuhonga muamuzi wawape kadi nyekundu ndio maana mechi zote Vital O wamepewa kadi nyekundu wakacheza pungufu yasni 8 au 9 uwanjani image pamoja na ubovu wote ila bado wanacheza pungufu.
2. EBC SA ya Ethiopia ni mbovu mbovu hata mashabiki maskini hawana na rank zao katika ubora barani Afrika wapo kwe mia huko chini nakuendelea,pia ndio wale wale kama Vital O
Yanga angekutana na Apr na PYRAMIDS angesha aga mashindano muda mrefu.
Ndio maana watu wanaosema yanga ni bora ni watu wasiojielewa. Yanga ni mbovu sana tena sana kiasi kwamba ingekutana na Ally ALHALY TRIPOLI wangefungwa sio chini ya goli 7.
Naunga mkono hojahaha! mnaosema yanga mbovu vipi mbona two times mmeshindwa kuifunga! 5 moja azam kachezea!,mamelod kama mlivyoona al ahly kama mlivyoshuhudia!.
muda mwengine hawa mashabiki wa simba sio wakubishana nao wakuwaacha tu, hersi anahela gani yakuhonga huko caf..π
mpira ushabadirika,sio uchawi sio hongo kama hautajitupa ktk hali zote sahau kushinda!
Unasumbuliwa na:nasikia anaenda kuhonga na kuomba wapangiwe timu mbovu na dhaifu.
Ni uchawi wa kupitia milango isiyo rasmi.. baaasii hakuna kinginehaha! mnaosema yanga mbovu vipi mbona two times mmeshindwa kuifunga! 5 moja azam kachezea!,mamelod kama mlivyoona al ahly kama mlivyoshuhudia!.