Lengo la yanga ni kuhamia moja kwa moja uhuru ili amvurugie Simba..Yanga ni master mind sana hapo tutegemee kuroga uwanja ili Simba asishinde hio tarehe 10 wao wanatumia KMC stadium ila imekuwa ghafla kutaka kucheza mechi ya kirafiki uwanja wa uhuru ambao Simba anautumia kama uwanja wa nyumbani wamekuja ili wafukie matunguli yao uwanjani .
Simba kama Yanga akicheza hio mechi ya kirafiki hapo uhuru au Shamba la bibi basi kunauwezekano mkubwa wa kufungwa hio tarehe 10
Uongozi wa Simba hio mechi ya kirafiki haina manufaa kwetu hata kwenye ligi yetu ikiwezekana tubadili uwanja turudi isamuhyo tu.
Wanachokifocus Yanga ni hio mechi ya tarehe 10 ndio maana wamealika waje kucheza uhuru waturoge maana hawana njia toofauti na hio.
Wataingiaje uwanjani bila kuwa na mechi au unadhqni hapo ni avic town 😂Kwamba kila siku watu wapo hapa Tz washindwe kuloga mpaka timu nyingine iwepo?
Yaani uloge kwa siku moja tu wakati kuna siku karibu 20 mbele mtu ashindwe kubatilisha?
Kuloga mnakujua au huwa mnajiandikia tu kuloga kuloga.!!
Yanga wanataka waturoge yaani tusishinde mechi yeyote tukicheza nao hapo uhuru ikumbukwe kimataifa pia tunatumia uhuru wao walikimbilia chamanzi sasa naona dawa zimegoma wanataka waje uhuruSimba nao wacheze mechi nyingine ya kirafiki
Niliona hilo muda sana,kwamba lazima wahamie hapo..Hao jamaa wanapenda shali sana
Hao utopolo hawana timu ya kumfunga Simba,kwa namna walivyopelekewa moto na Geita juzi, Wajiandae tutawapiga Tatu bila inshallah!Yanga ni master mind sana hapo tutegemee kuroga uwanja ili Simba asishinde hio tarehe 10 wao wanatumia KMC stadium ila imekuwa ghafla kutaka kucheza mechi ya kirafiki uwanja wa uhuru ambao Simba anautumia kama uwanja wa nyumbani wamekuja ili wafukie matunguli yao uwanjani .
Simba kama Yanga akicheza hio mechi ya kirafiki hapo uhuru au Shamba la bibi basi kunauwezekano mkubwa wa kufungwa hio tarehe 10
Uongozi wa Simba hio mechi ya kirafiki haina manufaa kwetu hata kwenye ligi yetu ikiwezekana tubadili uwanja turudi isamuhyo tu.
Wanachokifocus Yanga ni hio mechi ya tarehe 10 ndio maana wamealika waje kucheza uhuru waturoge maana hawana njia toofauti na hio.
Nyie kugongwa.Mashabiki wa simba akili zao wamezipeleka kwenye kunya tu
Huo ni uwanja wa taifa na umejengwa kwa kodi za wananchi siyo wa Simba, kila timu ina mamlaka ya kuutumia mkuuYanga ni master mind sana hapo tutegemee kuroga uwanja ili Simba asishinde hio tarehe 10 wao wanatumia KMC stadium ila imekuwa ghafla kutaka kucheza mechi ya kirafiki uwanja wa uhuru ambao Simba anautumia kama uwanja wa nyumbani wamekuja ili wafukie matunguli yao uwanjani .
Simba kama Yanga akicheza hio mechi ya kirafiki hapo uhuru au Shamba la bibi basi kunauwezekano mkubwa wa kufungwa hio tarehe 10
Uongozi wa Simba hio mechi ya kirafiki haina manufaa kwetu hata kwenye ligi yetu ikiwezekana tubadili uwanja turudi isamuhyo tu.
Wanachokifocus Yanga ni hio mechi ya tarehe 10 ndio maana wamealika waje kucheza uhuru waturoge maana hawana njia toofauti na hio.
Mkuu wa mkoa Yanga, Mama la Mamalao Yanga, Waziri Mkuu Yanga, inawezekana meneja wa uwanja Yanga, janitor anaweza kuwa Yanga, Kamanda Muliro anaweza kuwa Yanga.Wataingiaje uwanjani bila kuwa na mechi au unadhqni hapo ni avic town 😂
Libasse gueye juega al fútbol muy bienMkuu wa mkoa Yanga, Mama la Mamalao Yanga, Waziri Mkuu Yanga, inawezekana meneja wa uwanja Yanga, janitor anaweza kuwa Yanga, Kamanda Muliro anaweza kuwa Yanga.
Simu moja tu wanafunguliwa geti mchana kweupee wanawanga 😃