Kwanini Yanga wachague uwanja wa uhuru na sio KMC stadium?

Msimu huu Yanga walihama Uhuru sababu kulikuwa na matengenezo ya barabara na miundombinu pale nje ya uwanja ila kwasasa yameshakamilika soon watatangazo kuhamishia mechi zake hapo Uhuru stadium (Shamba la bibi)
 
Mnafikiri Ynga ni wachawi kama nyie mlivyologa Afrika Kusini mpaka mkapewa adhabu au mnajitoa ufahamu?
 
Hapo walipigwa ban hakuna kuchimbia matunguli
 
Mnafikiri Ynga ni wachawi kama nyie mlivyologa Afrika Kusini mpaka mkapewa adhabu au mnajitoa ufahamu?
Ivi unajua yanga anabenchi la wachawi yaani waganga mechi ikiwa ngumu wanatuma waganga wao wakaroge
 
Uchawi haufani kazi kwemye mpira acha uduwanzi. Simba tunafungwa na Yanga kutokana na Ubora wao kwa misimu 5 msimu huu yanga na simba ubora unafanana tutegemee sare
Doumbia está jugando muy bien jajaja
 
Uzuri Yanga hainaga makelele. Wanasubiri siku demu aingie geto wajipigie miti watakavyo. Huyo Libase kashacheza mechi ngapi na Yanga?
 
Una hoja usikilizwe Mimi NAMI naunga mkono viongozi walifanyie kazi yanga anacheza mpira nje ya uwanja hayo mambo ya ulozi ndo kazi yake!!! Viongozi tukifungwa na yanga awamu hii hatuwaelewi raha ya ligi umfunge mtani basi.
 
Kwenye uchawi yanga wameshindikana,wanaishi kwa ulozi na fitna za hali ya juu.
Sio watu wa mpira ni watu wa fitna tu,majungu na propaganda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…