Kwanini Yanga Walifika CAS Dhidi Ya Morrison..? Leo Wakili MSOMI Katoa Majibu...!

kinje ketile

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2015
Posts
5,089
Reaction score
9,664
Majibu Ya Kesi Yanga Dhidi Ya Morrison CAS tuliyasikia.

Leo Tumepata Majibu Ya BM Juu Ya kwanini Utopolo Walifika hadi CAS..!

Kwa Kiwango Kile Alichoonesha dhidi Red Allows Ya Zambia.Hakika Yanga walistahili Kufika Pale Walipofika japo Waliangukia Pua.!
Zipo nyakati duniani ...jambo moja Unaloweza Kufanya ni Kuvumilia..! Wana Yanga Vumilieni tu Kwa Kuwa kile ni Kipaji BM Alipewa na Mungu.
 
Ungekuwa ndugu yangu wewe ningebadilishana na gunia la ufuta
 
Nafikiri ifike Mahali Waache Kumpaka Matope.....!
ooooh chizi, mara Muhuni , mara hana Adabu... ! Lugha Ya Mpira ni Moja tu nayo ni Uwezo wako Uwanjani.
Kuna faida gani Uwe na adabu Uwanjani halafu Uwezo ni Kama Wa 'Yiekpe'...mnamkumbuka huyu Mwamba.
 
Ungekuwa ndugu yangu wewe ningebadilishana na gunia la ufuta
Ndugu yangu jazba si jambo jema ushauri wangu tu sijui kama utapokelewa lakini,jaribu kufanya marejeo ya mechi ya leo na usiangalie dakika 90 angalia tu first half najua ukimaliza hili tatizo litapungua au kuisha kabisa
 
Unajua mnakuja na illogical analysis ambazo zinakosa uhalisia
Ndugu yangu jazba si jambo jema ushauri wangu tu sijui kama utapokelewa lakini,jaribu kufanya marejeo ya mechi ya leo na usiangalie dakika 90 angalia tu first half najua ukimaliza hili tatizo litapungua au kuisha kabisa
 
Pamoja na Kipigo kile kitakatifu,Eti na Wao Red Allows wanadai Wameonewa na Refa
 
Kwa hili Bernard Morrison la uwezo, huenda Jamaa wakarudi tena CAS kuomba review ya Case..!
 
.
JamiiForums-1591892018.jpg

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Wale Mawakili ambao kila mara walikuwa wanashinda kwenye media Mgongolwa na wenzake wote wameingia mitini.....! Hakuna hata mmoja anayejitokeza kuelezea wapi Yanga ilikosea kwenye mikataba na Morrison. Walijipa kazi ya kumtia Ndimu Mwakalebela.
 
Hahahahaha lakini walao wasije na kauli za kubeza duhh
Kweli! kweli! sema kwenye mpira wetu logic si jambo la muhimu sana tunachojali ni utani wa jadi na jamaa hapa alikuwa anafanya utani tu.
 
Wale Mawakili ambao kila mara walikuwa wanashinda kwenye media Mgongolwa na wenzake wote wameingia mitini.....! Hakuna hata mmoja anayejitokeza kuelezea wapi Yanga ilikosea kwenye mikataba na Morrison. Walijipa kazi ya kumtia Ndimu Mwakalebela.
Hawataki kujisumbua, kwani ilieleweka wazi hapo awali BM3 mkataba wake ni tia maji tia maji kwahivyo ni mchezaji huru

Ile ilikuwa kuwafurahisha Gongowazi tu.
 
Back
Top Bottom