kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Ungekuwa ndugu yangu wewe ningebadilishana na gunia la ufutaMajibu Ya Kesi Yanga Dhidi Ya Morrison CAS tuliyasikia.
Leo Tumepata Majibu Ya BM Juu Ya kwanini Utopolo Walifika hadi CAS..!
Kwa Kiwango Kile Alichoonesha dhidi Red Allows Ya Zambia.Hakika Yanga walistahili Kufika Pale Walipofika japo Waliangukia Pua.!
Zipo nyakati duniani ...jambo moja Unaloweza Kufanya ni Kuvumilia..! Wana Yanga Vumilieni tu Kwa Kuwa kile ni Kipaji BM Alipewa na Mungu.
Ndugu yangu jazba si jambo jema ushauri wangu tu sijui kama utapokelewa lakini,jaribu kufanya marejeo ya mechi ya leo na usiangalie dakika 90 angalia tu first half najua ukimaliza hili tatizo litapungua au kuisha kabisaUngekuwa ndugu yangu wewe ningebadilishana na gunia la ufuta
Red Allows wanajuta Kumfahamu huyu Mwamba.
Ndugu yangu jazba si jambo jema ushauri wangu tu sijui kama utapokelewa lakini,jaribu kufanya marejeo ya mechi ya leo na usiangalie dakika 90 angalia tu first half najua ukimaliza hili tatizo litapungua au kuisha kabisa
Kweli! kweli! sema kwenye mpira wetu logic si jambo la muhimu sana tunachojali ni utani wa jadi na jamaa hapa alikuwa anafanya utani tu.Unajua mnakuja na illogical analysis ambazo zinakosa uhalisia
Unawadharau sana ndugu zako kiasi kwamba uko tayari kubadilishana nao na gunia la ufutaUngekuwa ndugu yangu wewe ningebadilishana na gunia la ufuta
Unawadharau sana ndugu zako kiasi kwamba uko tayari kubadilishana nao na gunia la ufuta
Kweli! kweli! sema kwenye mpira wetu logic si jambo la muhimu sana tunachojali ni utani wa jadi na jamaa hapa alikuwa anafanya utani tu.
Hawataki kujisumbua, kwani ilieleweka wazi hapo awali BM3 mkataba wake ni tia maji tia maji kwahivyo ni mchezaji huruWale Mawakili ambao kila mara walikuwa wanashinda kwenye media Mgongolwa na wenzake wote wameingia mitini.....! Hakuna hata mmoja anayejitokeza kuelezea wapi Yanga ilikosea kwenye mikataba na Morrison. Walijipa kazi ya kumtia Ndimu Mwakalebela.