Mfupawasokwe
Member
- Sep 12, 2024
- 24
- 29
Kwa sababu walikuwa haramu (najisi) kwa mujibu wa sheria ya torati...Habari yenu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza kwanini yesu alipokuwa anaombea watu wenye mapepo alikua anayotoa hayo mapepo kwa watu na kuyaelekeza kwa nguruwe, naomba msaada mnieleweshe maana hili linanichanganya.
Sasa kwanini baadhi ya madhehebu ya kikristo wanakula hali ya kuwa huyo mnyama ni haramu.Kwa sababu walikuwa haramu kwa mujibu wa sheria ya torati...
Kati Yako na wachina ambao daily lazima wammange nani chizi?Ndio maana wanaokula NGURUWE wanachizika!
Hata kama wasinge kula dhambi ni zaidi ya NAJISI mtu akila nguruwe atakiwi kutubu bali anachotakiwa kufanya ni kutawaza na anakuwa safi...vipo vitu avifai ila siyo dhambi bali vina halibu dhawabu au vinazuia dhawabu au vinazuia kusikiwa na mungu kwenye dua zako ...ndiyo maana unajisi wa nguruwe haupo kwenye kumla tu kama wengi mnavyo dhani bali hata kugusana naye ...swali je .. watu wa torati wakiwa wanakwenda hekaluni kisha nguruwe akawapitia na kuwagusa bija ya dhamira zao walinajisika hau la ? Bila shaka walinajisika ...je kuna dhambi yoyote inayoweza kumpata mtu bila ya yeye mwenyewe kukusudia moyoni? Jibu hapana .. hivyo kitu najisi ni chochote ambacho mungu akihesabii dhambi ila kina zuia kusikiwa na mungu... hata kumwomba mungu ukiwa umekunywa pombe ni najisi ...kwanini sababu ni kuwa mungu awezi kukusikia dua zako..zamani mitume na watakatifu wengi tu walikuwa wanakunya pombe .Sasa kwanini baadhi ya madhehebu ya kikristo wanakula hali ya kuwa huyo mnyama ni haramu.
Kwa sababu eneo hilo hakukuwa na wanyama wengine isipokuwa hao nguruwe.Habari yenu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza kwanini yesu alipokuwa anaombea watu wenye mapepo alikua anayotoa hayo mapepo kwa watu na kuyaelekeza kwa nguruwe, naomba msaada mnieleweshe maana hili linanichanganya.
Yesu hakuelekeza, mapepo yalipendekezaHabari yenu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza kwanini yesu alipokuwa anaombea watu wenye mapepo alikua anayotoa hayo mapepo kwa watu na kuyaelekeza kwa nguruwe, naomba msaada mnieleweshe maana hili linanichanganya.
Kuna kitu hakipo sawa ulivyoandika.Kwamba Yesu kila alipowatoa watu mapepo(zingatia neno kila)aliamuru waemde kwa nguruwe?Kasome upya biblia yako ya kiwapi sijui!Habari yenu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza kwanini yesu alipokuwa anaombea watu wenye mapepo alikua anayotoa hayo mapepo kwa watu na kuyaelekeza kwa nguruwe, naomba msaada mnieleweshe maana hili linanichanganya.