stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
Karibia kila nchi ina namna ya kumuita Yesu kwa jina lake, mm mtanzania nikiomba nasema Katika jina la Yesu alafu mwingine anasema in Jesus nama ama Yoshua, to me it feels like maombi yanaenda kwa mtu tafauti!
unlike waislam mtume wao wanamwita jina moja dunia nzima Prophet Muhammad, sjawahi skia kwa tanzania mtu anasema mtume Mwamedi
unlike waislam mtume wao wanamwita jina moja dunia nzima Prophet Muhammad, sjawahi skia kwa tanzania mtu anasema mtume Mwamedi