Dini ya Uisalamu haina masihara katika dini yao, kwote dinia nzima inafanana kila kitu.Karibia kila nchi ina namna ya kumuita Yesu kwa jina lake, mm mtanzania nikiomba nasema Katika jina la Yesu alafu mwingine anasema in Jesus nama ama Yoshua, to me it feels like maombi yanaenda kwa mtu tafauti!
unlike waislam mtume wao wanamwita jina moja dunia nzima Prophet Muhammad, sjawahi skia kwa tanzania mtu anasema mtume Mwamedi
inategemea na lugha yenyewe jinsi watu watakavyo amua kuwasilianasasa kila lugha inamuita Muhammad ivo ivo
Muhammad, Mohammed nknkDini ya Uisalamu haina masihara katika dini yao, kwote dinia nzima inafanana kila kitu.
Uko sahihi mkuu..Hapo hakuna majina mengi ila lugha nyingi
Mbona ALLAH ni huyu huyu ulimwengu mzima na kila kabila inamita Allah. Hizo ulizo taja juu ni sifa zake kwa lugha tofauti.Ngoja wajuzi watukupa majibu sahihi lakini ni jambo dogo(shida ubongo umeamua usifanye kazi yake vizuri)
Mbona Mungu hujasema pia maana God,Mungu,Katonda,Rugaba,Omukama na kuendelea ni concept moja shida ni lugha inayotumika lakini reference inabaki ni moja
Nje ya mada ukisikia mtu anasema kiti na mwingine chair wanakuwa wanaongelea vitu viwili tofauti sio?
Ni wingi wa lugha na wingi wa waamini katika imani kumuhusu Jesus... Wakristo ni wengi mno duniani na wengi wanatumia lugha tofauti.Karibia kila nchi ina namna ya kumuita Yesu kwa jina lake, mm mtanzania nikiomba nasema Katika jina la Yesu alafu mwingine anasema in Jesus nama ama Yoshua, to me it feels like maombi yanaenda kwa mtu tafauti!
unlike waislam mtume wao wanamwita jina moja dunia nzima Prophet Muhammad, sjawahi skia kwa tanzania mtu anasema mtume Mwamedi
izo za mambo ya dunia hazina issue sana ila linapokuja swala la divine, kuna issue apoNgoja wajuzi watukupa majibu sahihi lakini ni jambo dogo(shida ubongo umeamua usifanye kazi yake vizuri)
Mbona Mungu hujasema pia maana God,Mungu,Katonda,Rugaba,Omukama na kuendelea ni concept moja shida ni lugha inayotumika lakini reference inabaki ni moja
Nje ya mada ukisikia mtu anasema kiti na mwingine chair wanakuwa wanaongelea vitu viwili tofauti sio?
MudiMuhammad, Mohammed nknk
Kumbe basi sawa kwahiyo Jesus waswahili ulitaka wamuite vipi?Linguistic sikusoma vizuri lakini kama itakuwa ulienda shule rudi kwenye daftari zako za kidato cha pili kuna majibu ya haya unayosema.Mbona ALLAH ni huyu huyu ulimwengu mzima na kila kabila inamita Allah. Hizo ulizo taja juu ni sifa zake kwa lugha tofauti.
Yesu ni WA ulimwengu mzima hata nyie mnavyomuita Mungu ki lugha chetu haitwi Jehovah,Wala Mungukuna namna haileti logic nzuri, ni kama una address mtu tafauti, obama aje tanzania akute kwa lugha yetu wanamwita gwajima kwel?