Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Si lengo langu kukufuru au kuzodoa bali kutaka kujua. Ukiangalia namna walivyokufa au kilichotokea baada ya vifo vyao, unatia shaka uhalali wa dini za kimapokea. Yesu kifo cha kikatili cha kutundikwa na kufia msalabani
Wakati Muhammad, inadaiwa alikufa tokana na kupewa sumu
Ukiachana na vifo vya wawili hawa, walipokufa, waliacha vurugu na mauaji ya kikatili. Wanafunzi wa Yesu, kama kweli walikuwa wanafunzi wake, walikufa vifo vibaya kama vile kunyongwa na mengine mengi.
Wafuasi wa Muhammad walianza kuuana wakigombea madaraka. Je Mungu au tuseme miungu yao ilikuwa wapi kuacha haya yote yatokee?