We jamaa mtupu kweli
1. Muhammad (saw) hakufa kwa sumu
2. Hakukua na kugombania madaraka atleast kwa miaka kadhaa
3. Effect alioiacha Muhammad (saw) ndio hio inayojulikana kama Islamic Golden Age na base ya Sayansi tunayoiona sasa, Waisilamu wakasambaa na kupeleka Elimu Ulaya, Africa hadi China