Kwanini Yondani hakuonekana Ikulu?

Kalolelo

Senior Member
Joined
Oct 17, 2018
Posts
164
Reaction score
244
Sorry wadau tulipata taarifa ya Samatta lakini Yondani hakuonekana wakati alicheza kwa kiwango kikubwa.

Kulikoni?
 
Dah! Shadeeya mbona mnatesa wacheza? Hama timu card usiwe na shida nitakupitishia ukishafanya maamuzi.
Hamna kitu kama hicho bana BAK . Angalau ingekuwa sauti ya Feisal ningeamini ila hapa naona ni mchezo tu huu wa kutuvuruga.
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…