Kwanini Zanzibar hakuna comedians?

Watu wa pwani wanaiga tu hata kuimba ,mpira sio vyao hivyo hao wape tende na ulojo na umbea juu yakhee!!😁😁😁
Ww hujui ulisemalo iyo ligi yenu uko bara karibia kila team kuna mzanzibar ten ni wanaanzia vikosi vya mwanzo sio sugua bench kama haitoshi team ya Taifa star kuna wazanzibar hawapungui 5 ten wakikosi cha mwanzo utasemaje mpir sio fani yao?
 
Tangu kumeibuka wimbi la wachekeshaji kibiashara nchini sijawahi kusikia comedian Mzanzibar aliye maarufu. Huko Zanzibar wao hawafanyi comedy au wapo ila hawajawa maarufu tu?!
Mkuu,

Idris Sultan hujamkubali kama comedian?
 
Huko taarabu ndo wanajua
Tangu kumeibuka wimbi la wachekeshaji kibiashara nchini sijawahi kusikia comedian Mzanzibar aliye maarufu. Huko Zanzibar wao hawafanyi comedy au wapo ila hawajawa maarufu tu?!
 
Ww hujui ulisemalo iyo ligi yenu uko bara karibia kila time kuna mzanzibar ten ni wanaanzia vikosi vya mwanzo sio sugua bench kama haitoshi team ya Taifa star kuna wazanzibar hawapungui 5 ten wakikosi cha mwanzo utasemaje mpir sio fani yao?
BaSi tutawarudisha huko zenji tuone kama watatoboaπŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…