Program Manager
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 2,763
- 3,955
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wa pwani wanaiga tu hata kuimba ,mpira sio vyao hivyo hao wape tende na ulojo na umbea juu yakhee!!😁😁😁
Ww hujui ulisemalo iyo ligi yenu uko bara karibia kila team kuna mzanzibar ten ni wanaanzia vikosi vya mwanzo sio sugua bench kama haitoshi team ya Taifa star kuna wazanzibar hawapungui 5 ten wakikosi cha mwanzo utasemaje mpir sio fani yao?Watu wa pwani wanaiga tu hata kuimba ,mpira sio vyao hivyo hao wape tende na ulojo na umbea juu yakhee!!😁😁😁
Mkuu,Tangu kumeibuka wimbi la wachekeshaji kibiashara nchini sijawahi kusikia comedian Mzanzibar aliye maarufu. Huko Zanzibar wao hawafanyi comedy au wapo ila hawajawa maarufu tu?!
Tangu kumeibuka wimbi la wachekeshaji kibiashara nchini sijawahi kusikia comedian Mzanzibar aliye maarufu. Huko Zanzibar wao hawafanyi comedy au wapo ila hawajawa maarufu tu?!
Hakika ni kazi ya kipuuzi!!!kuchekesha ni kazi ya kipuuzi, ni moja ya mambo yanodhihirisha utumwa wa mwanadamu kwa kwenye kitu kinachoitwa pesa.
Idris ni Mzanzibari.Ni Mzanzibar? Nimewahi kumsikia akisema amekulia Arusha.
🤣🤣🤣🤣🤣😂Sasa Wazenji watachekeshaje na ile lafudhi yao
BaSi tutawarudisha huko zenji tuone kama watatoboa😁😁😁😂😂Ww hujui ulisemalo iyo ligi yenu uko bara karibia kila time kuna mzanzibar ten ni wanaanzia vikosi vya mwanzo sio sugua bench kama haitoshi team ya Taifa star kuna wazanzibar hawapungui 5 ten wakikosi cha mwanzo utasemaje mpir sio fani yao?