Katika pitapita zangu YouTube nimekutana na remix ya wimbo wa diamond "sikomi" ukiwa umeelezwa kuimbwa na Zari. Nimesikiliza ndani pia naona mwanadada aliyeimba humo anajitaja kama zari.
Sina uhakika kama ni yeye kweli au wadau wamemlisha maneno ila mwanadada husika ana sauti nzuri sana aisee!