Kwanini Zari asisajiliwe WCB kwa sauti hii?

Kwanini Zari asisajiliwe WCB kwa sauti hii?

Decree Holder

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2015
Posts
2,559
Reaction score
3,745
Waungwana salamu kwanza!

Katika pitapita zangu YouTube nimekutana na remix ya wimbo wa diamond "sikomi" ukiwa umeelezwa kuimbwa na Zari. Nimesikiliza ndani pia naona mwanadada aliyeimba humo anajitaja kama zari.

Sina uhakika kama ni yeye kweli au wadau wamemlisha maneno ila mwanadada husika ana sauti nzuri sana aisee!

 
Search wimbo wake unaoitwa Toloba, naamin ukishausikiliza utakuja na maoni tofauti
 
Hahah hilo ni wazo zuri but hapa sio pahal pake mpelekee tale na salaam kule wcb
 
Back
Top Bottom