Zitto Kabwe kwanini anakwepa kuchambua uzembe, ubadhirifu na upigaji mkubwa uliofanywa kwenye Wizara ya Nishati, Wizara ya Mawasiliano, Wizara ya Ujenzi, Wizara ya Maji.
Ripoti ya CAG imeibua madudu mengi na ya kutisha kwenye wizara hizo lakini jambo la kushangaza Zitto ameshindwa kuchambua ripoti hiyo na kukimbilia kwenye mambo madogo madogo.
Au ndio zile tetesi za udini?
Labda hela za VyuraNishati kuna upotevu wa kiasi gani??
Sasa hela ya vyura si walisaini mwaka 2020 je hawamjui waziri aliekuwepo mwaka huo na Mkurugenzi aliekuwepo mwaka huo??Labda hela za Vyura
IPTL bilioni 400, TAN OIL, REA...nenda kasome ripoti acha uvivuNishati kuna upotevu wa kiasi gani??
Kwani nani kamtaja January?Sasa hela ya vyura si walisaini mwaka 2020 je hawamjui waziri aliekuwepo mwaka huo na Mkurugenzi aliekuwepo mwaka huo??
Na Rais aliekuwepo mwaka huo??
January anaingiaje??
Zitto Kabwe kwanini anakwepa kuchambua uzembe, ubadhirifu na upigaji mkubwa uliofanywa kwenye Wizara ya Nishati, Wizara ya Mawasiliano, Wizara ya Ujenzi, Wizara ya Maji.
Ripoti ya CAG imeibua madudu mengi na ya kutisha kwenye wizara hizo lakini jambo la kushangaza Zitto ameshindwa kuchambua ripoti hiyo na kukimbilia kwenye mambo madogo madogo.
Au ndio zile tetesi za udini?
Hawezi kukosoa Serikali ya dini mojaZitto Kabwe kwanini anakwepa kuchambua uzembe, ubadhirifu na upigaji mkubwa uliofanywa kwenye Wizara ya Nishati, Wizara ya Mawasiliano, Wizara ya Ujenzi, Wizara ya Maji.
Ripoti ya CAG imeibua madudu mengi na ya kutisha kwenye wizara hizo lakini jambo la kushangaza Zitto ameshindwa kuchambua ripoti hiyo na kukimbilia kwenye mambo madogo madogo.
Au ndio zile tetesi za udini?
Sasa hela ya vyura si walisaini mwaka 2020 je hawamjui waziri aliekuwepo mwaka huo na Mkurugenzi aliekuwepo mwaka huo??
Na Rais aliekuwepo mwaka huo??
January anaingiaje??
Huyu waliingizana choo cha kike na mwenzake Niguse Ninuke😆😂🤣Ripoti ya CAG imeibua madudu mengi na ya kutisha kwenye wizara hizo lakini jambo la kushangaza Zitto ameshindwa kuchambua ripoti hiyo na kukimbilia kwenye mambo madogo madogo.
Huyo sio chawa wa January ni chawa wa dini yetu pendwaWewe jamaa una mahaba na January hadi sio poa. Kwa hiyo tusubuli hadi lini ndo hatua zichukuliwe Ustadhi the boss?
Ni unafikiZitto Kabwe kwanini anakwepa kuchambua uzembe, ubadhirifu na upigaji mkubwa uliofanywa kwenye Wizara ya Nishati, Wizara ya Mawasiliano, Wizara ya Ujenzi, Wizara ya Maji.
Ripoti ya CAG imeibua madudu mengi na ya kutisha kwenye wizara hizo lakini jambo la kushangaza Zitto ameshindwa kuchambua ripoti hiyo na kukimbilia kwenye mambo madogo madogo.
Au ndio zile tetesi za udini?
dalali hawezi fungua domo lake kamwe.Zitto Kabwe kwanini anakwepa kuchambua uzembe, ubadhirifu na upigaji mkubwa uliofanywa kwenye Wizara ya Nishati, Wizara ya Mawasiliano, Wizara ya Ujenzi, Wizara ya Maji.