Kwanini Zitto Kabwe anakwepa kuwagusa vigogo waliotajwa ripoti ya CAG

Zitto ni yuleyule
 
Unamwamini Zitto?!
 
Kipara ni rafiki na mfadhiri wake
 
Zitto ni mwanasiasa anayeongoza kwa unafiki Tanzania, hii ndio sifa yake kuu simshangai kwa hilo.
 
Sasa hela ya vyura si walisaini mwaka 2020 je hawamjui waziri aliekuwepo mwaka huo na Mkurugenzi aliekuwepo mwaka huo??
Na Rais aliekuwepo mwaka huo??

January anaingiaje??
You are very insecure na January...
its written all over you...and too bad u cant help it...ht ambako ahajatajwa unajikuta tu difensive mode yako ime kick in...pole sana mkuu
 
Sasa hela ya vyura si walisaini mwaka 2020 je hawamjui waziri aliekuwepo mwaka huo na Mkurugenzi aliekuwepo mwaka huo??
Na Rais aliekuwepo mwaka huo??

January anaingiaje??
Bil 350 zilizolipwa Symbion kununua mitambo chakavu bila ridhaa ya Bunge anahusika moja Kwa moja
 
 
Hizi mambo zilishnda zina trend kule tweeter nw zipo huku lengo ni nn?
 
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…