Kwanini Zitto Kabwe anasapoti vita ya Rwanda ya M23 dhidi ya Congo?

Hiyo ni hasira rafiki yake Makamba kushtukiwa na plan zao kuzimwa,kuna mtu kaniambia kitu kuhusu Makamba na Rwanda nikawa siamini,ila jana baada ya kusoma Tweet ya Zitto nikasema OK.
Huyu Zitto alikuwa vocal sana kuhusu kumpinga Kagame but all a sudden kabadilika
 
Mimi nina marafiki wanyamulenge na wanatambuliwa kama wacongo.
Kuna wanyamulenge ambao ni wahamiaji wa muda sio mrefu na hawatokei Rwanda tu, bali hata Burundi. Hao lengo lao kuu ni kujitenga na wabantu wa Congo ambao wanasema ni wala paka na panya hawawezi kuishi nao wala kuoana nao.
Pia usipende kuamini kuwa watu 4000 wanaweza kuwa na vifaa kama vile vya kijeshi bila msaada wa taifa lolote au established government. That defeats logic.

Point is, usivamie taifa jirani, waache wapigane kama wanaweza, la sivyo kuna uwezekano wa wewe kupoteza utawala wako..
Mataifa yote yaliyovamia nchi jirani, yaliishia kupoteza.
 
H
Hata wahutu wako hivyo hivyo, wazulu wako hivyo hivyo, wa kongo wako hivyo hivyo. Watanzania hatuna roho ya namna hii ya ku demonized jamii nzima ndio maana unaona hata yakitokea migogoro ya wakulima na wafugaji, serikali huwa inakaa katikati na kuhukumu kulingana na tukio na mazingira halisi ya tukio au wakati na wale sio "wafugaji/wakulima wakorofi". Hii ndio nguzo ya amani yetu mpaka sasa. Unawezaji kuikataa jamii yako eti kwa vile onaongea lugha ya nchi nyingine?
 
Kumbuka M23 hawapati support toka Rwanda,hio mmelishwa sumu kwakua kuna mtu hampendi Kagame muda mrefu sana na nikwasababu yupo na akili sana jamaa.
Ni sawa na ww utoke TZ ukaishi Congo an upate uraia kule bado utakua kabila la TZ lkn ni raia wa Congo,ndivyo walivyo M23 by asili was coming from Rwanda lkn ni raia wa Congo ila kwakua wana asili hio ndio likaongezwa kua wanasaidiwa na Rwanda which is wrong
 
Hapa hujazungumza hoja.

Mbona Zitto amelezea vizuri tu suala la Congo. Rudia kusoma taratibu kila kitu kiko wazi.

Congo imezungukwa blna nchi tisa . Kwa nini Tanzania tu iwe kiherehere hao wengine nane hawaathiriki? Hawana maslahi Congo hawafanyi biashara na Congo?
Kagame hajalazomisha mazungumzo. Kama Tshisekedi hataki mazungumzo wacha wapigane
 
Binafsi nimesoma Tweets za Zitto amejitahidi kutuelimisha vizuri sana historia na geography ya Easten DRC kuhusu himaya na tawala za maeneo kabla na baada ya Wakoloni kuchora mipaka iliyogawa baadhi ya himaya katika pande mbili za watu walewale!
Na maelezo yake yanaendana na alichosema hayati Baba wa Taifa kwenye clip hii!
Kwa hiyo Zitto asilaumiwe kwa sababu ni mtu wa Kigoma!

View: https://youtu.be/fu83XspMZA4?si=JUQvpLzUNSkYKGen
 
Huyo Nyerere alikosea mambo mengi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…