Ikizu Bukama
Senior Member
- Nov 26, 2023
- 183
- 378
Hiyo ni hasira rafiki yake Makamba kushtukiwa na plan zao kuzimwa,kuna mtu kaniambia kitu kuhusu Makamba na Rwanda nikawa siamini,ila jana baada ya kusoma Tweet ya Zitto nikasema OK.Huyu kiongozi mkuu mstaafu wa ACT wazalendo mzaliwa wa kigoma, Mwami Zitto Kabwe ukifuatilia tweets zake zote ni anasapoti kile wanachokifanya Rwanda kupitia M23 nchini Congo.
Anajaribu kuleta utetezi wa kihistoria ambao hata kagame ni kama hautaki.
Kagame analazimisha Congo 🇨🇩 wakae chini wazungumze na M23 kwa sababu ni Watutsi wacongo ila yeye hataki kukaa meza ya mazungumzo na wahutu FDRL ambao ni raia wa nchi yake pia.
Zitto ni kama anaonyesha rangi yake halisi.
Huyu Zitto alikuwa vocal sana kuhusu kumpinga Kagame but all a sudden kabadilika