Eng. Smasher
JF-Expert Member
- Nov 13, 2010
- 745
- 23
- Thread starter
-
- #21
Shemejiiiiiii......Mh mh mh.
sasa unabsha nini?
wee asi haujui?
Mbona miguno mingi hapa??!!!!
Thanks Preta kwa kulitambua linalonitatiza Moyoni mwangu!!!!
karibu shem.....anytym
Thanks hapo nimekupata MAMUSHIKA!!
Ikiwa mchana vipi kuna tatizo lolote hapo kumpa lift??!!
ni kweli aujapata jibu we bwna?
wanaume WANA ROHO NZURI SAAAAAAAAAAAAAANA ndo mana wanatoa lift kwa MADEM TU
wanawake wana roho mbaya saaaaaaaaaana ndo mana hawatoi lift
karibu shem.....anytym
Na2mia wasaa huu kukuomba msaada coz huyu mtoto hanielewi!!!!
Sijui nianzishe thread yake??!!!!
Mamaaaa kesi ya nyani kapelekewa ngedele.
Lift? Why lift anyone? Labda awe kilema!
1. Ana miguu kamili na alipopanga safari alijua ana means ya kufika
2. Kuna daladala kibao sikuhizi kila kona
3. Kuna bajaj za akina Asprin kila kona
4. Kuna tukutuku za akina Fidel80 kila mahali
5. Kuna taxi za akina Teamo kila upande
6. WHY LIFT?
Ndo shem pekee anayejua jinsi ninavoumia!!!!
Preta pls nambie kama unaweza kunisaidia kwa hili!!!
usijali shem....vunja ukimya....kitaeleweka
Inabidi nivunje ukimya kabla ya kumaliza Mwaka huu!!!
Shem huyu bibie si ndo hataki kunielewa the way ninavomfill huyu Binti wa KINYARWANDA!!!!
Ni kweli nampenda saaaaana huyu Binti, Nibembelezee Shem!!!!
Kwa kifupi si vizuri kutoa lifti, kwa mtu usiemjua awe mwanamke au mwanaume, ni kwa kuhofia usalama tu. Unaweza mpa lift mtu then ajali ikitokea hutaamini kesi itakavyo kutesa. Pia unaweza mpa lift mtu kumbe jambazi, kuna jamaa mmoja alikwenda kuwashusha wenzie home usiku wakitokea kula raha wakiwa njiani walikuta dada anaomba lift wakambeba USIKU WA MANANE, wengine wote walivyoshuka dereva alimuomba huyo dada ahamie siti ya mbele, lakini alikataa na ilikua sanane za usiku, wemekwenda hatua kidogo yule dada alimshuti yule kaka kwa nyuma kichwani. Baada ya hapo alishuka na akaondoka bila kuchukua kitu, mshikaji alikutwa kwa VX yake amekufa. Kwa hiyo wasio toa lift hawana roho mbaya wengine wanafanya kwa nia nzuri tu na kuepa matatizo.
Mkuu kwani hukushinda ile tenda ya kumaliza mwaka?
Uko sahihi kabisa nshalizwa na mwanamke SIMPI LIFT NISIYE MJUA awe he or she i am sorry!!