Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,057
- 10,367
Mtaji wa CCM ni ujinga wa watanzania wengi wao wakiwa vijijini wanaambiwa chadema ikishika nchi kutatokea vita hivyo msikubali jamani .teh teh teh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sukuma Land!THUBUTU YAO 2020, WALIBAHATISHA TU KUTOKANA NA RICHMOND YA LOWASA, AMBAYO ILIZAA IPTL HADI ESCROW ZA WENGINEO.
SASA HIYO LOOPHOLE HAIPO TENA.
MWANZA IONDOE KWENYE ORODHA YAKO HAPO.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikia mjini ni chuo kikuu, ukifika tu unatunukiwa na Bashite kwa mamlaka aliyonayo degree ya political science.
Sent from my Exclusive Y30-U00 using JamiiForums mobile app
KWELI AIONDOE MAANA HAINA SIFA ZA HAYO MAJIJI MENGINETHUBUTU YAO 2020, WALIBAHATISHA TU KUTOKANA NA RICHMOND YA LOWASA, AMBAYO ILIZAA IPTL HADI ESCROW ZA WENGINEO.
SASA HIYO LOOPHOLE HAIPO TENA.
MWANZA IONDOE KWENYE ORODHA YAKO HAPO.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sifa ya watu wa kijijini
1. Wengi hawajasoma(WAJINGA)
2. Wengi maskini
3. Wengi hupitwa na matukio
4. Wengi wazee
5. Ni rahisi kufuata upepo (kutongozwa na wanasiasa waongo kwa propaganda)
NB: NAMBA MOJA NDO MTAJI WA CHAMA TAWALA NA NDYO MANA HAWANA MPANGO WA KUBORESHA ELIMU..