Kwann libya wana fanya ivi

peterK2

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2017
Posts
293
Reaction score
91
Kwann warabu walibya wana kua na roho mbaya kiasi hichi..nini chanzo ya hivi vyoteee mpaka watu weusi tuna fanywa kama wanyama,mbona wao wanaishi kama wafalme nchi zingine kama wafalme hasa Tanzania..
 
Kuna video nime shindwa wasilosha kwa uzi huu..uki iona ina tia huruma sanh[emoji51][emoji16][emoji24]
 
Laana ya Gadafi inawatafuna
Gaddafimwenyewe ni laana.

Hizi habari za kutesa watu weusi zimetapakaa Uarabuni karibu kote, si suala la Libya tu.

Libya inatia fora sasa hivi kwa sababu ni jamii isiyo na serikali ya kueleweka.

Lakini tunasikia habari za watu weusi kufanywa kama watumwa uarabuni karibu kote.

Ni sualala kiutamaduni zaidi.
 

Napata hasira sana kuwaona wao wakiishi kama wafalme nchini [emoji37][emoji37][emoji37]
 
Napata hasira sana kuwaona wao wakiishi kama wafalme nchini [emoji37][emoji37][emoji37]

Hata wafalme wana matatizo yao.

Tumia hasira yako kama changamoto unayoweza kuitumia kwa njia chanya kuboresha maisha yako na wewe uishikama mfalme.

Wengine hao wame hustle by any means necessary kwavizazi na vizazi kufundishana kuishi hivyo, na kuinuana.

Kitabu chao kimesema mguu wa msafiri una baraka, moja ya sababu mimi niliondoka nyumbani kusafiri nje.

Na mimi huku nilipo kuna watu wazawa wengine wananiangalia halafu wanapata hasira kwa kufikiri naishi kama mfalme.
 

Tatizo sio kuishi kifalme,tatizo ni amani kwann na sisi kwao tusiishi kwa amani hata kama tuna hali ngumu za kimaisha kama wanavyoishi huku kwa amani
 
Tatizo sio kuishi kifalme,tatizo ni amani kwann na sisi kwao tusiishi kwa amani hata kama tuna hali ngumu za kimaisha kama wanavyoishi huku kwa amani
Kwa sababu sisi tuna utu zaidi wa kujali wageni kuliko wao.

Utu wetu ndio uliotuponza na kutufanya makoloni na masikini mpaka leo.
 
Allah atie nusura kwani sote tumeumbwa na mungu mmoja.... Awe mweusi au mweupe.. Allah karimu aifanyie wepesi hii hali ya Libya... Ikome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…