Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gaddafimwenyewe ni laana.Laana ya Gadafi inawatafuna
Gaddafimwenyewe ni laana.
Hizi habari za kutesa watu weusi zimetapakaa Uarabuni karibu kote, si suala la Libya tu.
Libya inatia fora sasa hivi kwa sababu ni jamii isiyo na serikali ya kueleweka.
Lakini tunasikia habari za watu weusi kufanywa kama watumwa uarabuni karibu kote.
Ni sualala kiutamaduni zaidi.
Napata hasira sana kuwaona wao wakiishi kama wafalme nchini [emoji37][emoji37][emoji37]
Hata wafalme wana matatizo yao.
Tumia hasira yako kama changamoto unayoweza kuitumia kwa njia chanya kuboresha maisha yako na wewe uishikama mfalme.
Wengine hao wame hustle by any means necessary kwavizazi na vizazi kufundishana kuishi hivyo, na kuinuana.
Kitabu chao kimesema mguu wa msafiri una baraka, moja ya sababu mimi niliondoka nyumbani kusafiri nje.
Na mimi huku nilipo kuna watu wazawa wengine wananiangalia halafu wanapata hasira kwa kufikiri naishi kama mfalme.
Kwa sababu sisi tuna utu zaidi wa kujali wageni kuliko wao.Tatizo sio kuishi kifalme,tatizo ni amani kwann na sisi kwao tusiishi kwa amani hata kama tuna hali ngumu za kimaisha kama wanavyoishi huku kwa amani