Kwann mtu ukishiba unakua umechoka?

Msaada kwa anayejua plz

Mkuu tatizo lako ni uroho,acha kula ugali kilo moja na dagaa watano kisha unashushia na maji yasiochemshwa lita 3.kula hivi: ugali size ya ngumi yako,samaki pande sawa na ugali na mboga za majani alafu baada ya nusu saa kula matunda baada ya nusu saa tena kunywa maji.
 

Unaact bongo kama ulaya?
 
ss ndo nakulz nikla huo ugal kilo moja na dagaa watano na hayo maji yasiyochemshwa kwnn nahisi uchovu #Albosignathus
 
wanalishe hawa...zingatia mkuu
 
ss ndo nakulz nikla huo ugal kilo moja na dagaa watano na hayo maji yasiyochemshwa kwnn nahisi uchovu #Albosignathus

Tumbo linajaa kupita kiasi na kufanya usipumue vizuri ndio maana unapata uchovu ni kwa mfano gari la tani 1 upakie mzigo tani 10.
 
nimekusoma kaka
 
kuna jamaa ananambia kuwa kuwa ukishiba unakua umeongeza energy sana sasa pale unapokuwa umechoka ndo hapo energy inapungua ili kubalance ile energy iliyozd hv ni kwel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…