Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msaada kwa anayejua plz
Mkuu tatizo lako ni uroho,acha kula ugali kilo moja na dagaa watano kisha unashushia na maji yasiochemshwa lita 3.kula hivi: ugali size ya ngumi yako,samaki pande sawa na ugali na mboga za majani alafu baada ya nusu saa kula matunda baada ya nusu saa tena kunywa maji.
wanalishe hawa...zingatia mkuuMkuu tatizo lako ni uroho,acha kula ugali kilo moja na dagaa watano kisha unashushia na maji yasiochemshwa lita 3.kula hivi: ugali size ya ngumi yako,samaki pande sawa na ugali na mboga za majani alafu baada ya nusu saa kula matunda baada ya nusu saa tena kunywa maji.
ss ndo nakulz nikla huo ugal kilo moja na dagaa watano na hayo maji yasiyochemshwa kwnn nahisi uchovu #Albosignathus
hahahaha...Tumbo linajaa kupita kiasi na kufanya usipumue vizuri ndio maana unapata uchovu ni kwa mfano gari la tani 1 upakie mzigo tani 10.