Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Na wanaomuongelea ni nyani wa pori la UtopoloRangi yake ndo inambeba, asingekua mzungu wala asingeongelewa namna hii. Mbona ni akili ndogo tu inatumika kuling'amua hilo.
Simba Ni timu kubwa na yenye ubora ndiomaana wanaijadili hao wachambuzi maandaziMpaka sasa wachezaji wa Simba, Dejan, Phiri, Okwa na Okrah wamefunga mabao katika mechi mbalimbali za Simba, hatujaona wachezaji kama Aziz Ki, Kambole nk waliosajiliwa kwa mahela mengi wakifunga hata goli la offside, nimekuwa nikifuatilia mitandaoni Dejan anajadiliwa mitaani, anajadiliwa mitandaoni, anajadiliwa majumbani, anajadiliwa baa, anajadiliwa vijiweni, anajadiliwa makazini, anajadiliwa stendi, wapo wanaomjadili kwa uzuri na wapo wanaomjadili kwa ubaya, lakn sisikii akijadiliwa Lazaro Kambole.
Ukubwa na ubora viko wapi sasa mbona hatuvioni ila tunaona tu vilio vyenu na mateso?Simba Ni timu kubwa na yenye ubora ndiomaana wanaijadili hao wachambuzi maandazi
Msimu huu mbona mmeanza mapema sana[emoji16].Wachambuzi maandazi wanalipwa na GSM kuichafua simba
Ukubwa wake upo wapi mbele au nyuma?Simba Ni timu kubwa na yenye ubora ndiomaana wanaijadili hao wachambuzi maandazi
Lazarous kambole yupo injury ajacheza hata mechi moja..Mpaka sasa wachezaji wa Simba, Dejan, Phiri, Okwa na Okrah wamefunga mabao katika mechi mbalimbali za Simba, hatujaona wachezaji kama Aziz Ki, Kambole nk waliosajiliwa kwa mahela mengi wakifunga hata goli la offside, nimekuwa nikifuatilia mitandaoni Dejan anajadiliwa mitaani, anajadiliwa mitandaoni, anajadiliwa majumbani, anajadiliwa baa, anajadiliwa vijiweni, anajadiliwa makazini, anajadiliwa stendi, wapo wanaomjadili kwa uzuri na wapo wanaomjadili kwa ubaya, lakn sisikii akijadiliwa Lazaro Kambole.
Lazarous kambole yupo injury ajacheza hata mechi moja..
Stephen Aziz ki nadhani unaona impact yake uwanjani,yeye ni kilainishi..
Assist kwa FKM kwenye community shield.
Tobo la zimbwe[emoji16].
BM3 has scored nice goal with brilliant performance.
Then unatakiwa uelewa sajili nyingine ni back up,sio kila sajili inatakiwa ianze moja kwa moja.
Sababu si hiyo nimekupa lazima aongelewa kwasababu ya rangi yake.Na wanaomuongelea ni nyani wa pori la Utopolo