Kwann wachambuzi wa mchingo hawamuulizii Kambole au kuhoji uwezo wa Joyce na badala yake wanamjadili Dejan tu

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Mpaka sasa wachezaji wa Simba, Dejan, Phiri, Okwa na Okrah wamefunga mabao katika mechi mbalimbali za Simba, hatujaona wachezaji kama Aziz Ki, Kambole nk waliosajiliwa kwa mahela mengi wakifunga hata goli la offside, nimekuwa nikifuatilia mitandaoni Dejan anajadiliwa mitaani, anajadiliwa mitandaoni, anajadiliwa majumbani, anajadiliwa baa, anajadiliwa vijiweni, anajadiliwa makazini, anajadiliwa stendi, wapo wanaomjadili kwa uzuri na wapo wanaomjadili kwa ubaya, lakn sisikii akijadiliwa Lazaro Kambole.
 
Simba inauzaaa simba inatamkikaa simba ni kila kituu mkuu. Yani simba hata ikiongelewa kwa kufungwa still it's a big issue. Simba ni kuuuuuuuuubwaaaa. Yani Yanga imepoa kama uji wa msibani hakuna redio kwa siku isiiongelee Simba ze animal. Ndo maana Mh Jakaya alisemaga yani Yanga mmmepoaaaaaa hamchangamki kama wenzenu Simba.
 
Kwanza lazima ujiulize mchezaji aliyecheza Lativia nchi ya 190 katika viwango vya soka Duniani anakuja kuwa mshambuliaji kinara kwenye soka la Tanzania? Ni umbumbumbu uliopitiliza kutojiuliza maswali kabla ya kumsajili.
 
Rangi yake ndo inambeba, asingekua mzungu wala asingeongelewa namna hii. Mbona ni akili ndogo tu inatumika kuling'amua hilo.
 
Mkuu hilo nililiona mda sana mpaka leo hatujui ntibanzokiza yuko wapi na kwa nini aliondoka yanga ila dilunga walimtafuta mpaka wakampata
 
Mpaka sasa wachezaji wa Simba, Dejan, Phiri, Okwa na Okrah wamefunga mabao katika mechi mbalimbali za Simba, hatujaona wachezaji kama Aziz Ki, Kambole nk waliosajiliwa kwa mahela mengi wakifunga hata goli la offside, nimekuwa nikifuatilia mitandaoni Dejan anajadiliwa mitaani, anajadiliwa mitandaoni, anajadiliwa majumbani, anajadiliwa baa, anajadiliwa vijiweni, anajadiliwa makazini, anajadiliwa stendi, wapo wanaomjadili kwa uzuri na wapo wanaomjadili kwa ubaya, lakn sisikii akijadiliwa Lazaro Kambole.
Simba Ni timu kubwa na yenye ubora ndiomaana wanaijadili hao wachambuzi maandazi
 
Wachambuzi maandazi wanalipwa na GSM kuichafua simba
 
Msimu huu mbona mmeanza mapema sana[emoji16].

Mpaka ikifika kati kati ya msimu mtawaambia na TFF kua nao wanapokea bahasha.

Mayele akiwageuza geuza mabeki wenu hiyo septemba 23 mtasema pia kua wamechukua mlungula then mwisho wa msimu atabaki matola tu kwenye benchi.[emoji16]
 
Mpaka sasa wachezaji wa Simba, Dejan, Phiri, Okwa na Okrah wamefunga mabao katika mechi mbalimbali za Simba, hatujaona wachezaji kama Aziz Ki, Kambole nk waliosajiliwa kwa mahela mengi wakifunga hata goli la offside, nimekuwa nikifuatilia mitandaoni Dejan anajadiliwa mitaani, anajadiliwa mitandaoni, anajadiliwa majumbani, anajadiliwa baa, anajadiliwa vijiweni, anajadiliwa makazini, anajadiliwa stendi, wapo wanaomjadili kwa uzuri na wapo wanaomjadili kwa ubaya, lakn sisikii akijadiliwa Lazaro Kambole.
Lazarous kambole yupo injury ajacheza hata mechi moja..

Stephen Aziz ki nadhani unaona impact yake uwanjani,yeye ni kilainishi..

Assist kwa FKM kwenye community shield.

Tobo la zimbwe[emoji16].

BM3 has scored nice goal with brilliant performance.

Then unatakiwa uelewa sajili nyingine ni back up,sio kila sajili inatakiwa ianze moja kwa moja.
 
Umejibu tofauti na mada iliyoko mezani, kidogo umejibu kwa Aziz K ambae hajafunga goli hata moja na assist kubwa ni ya goli moja kwenye mechi ya ngao ya Jamii, baada ya hapo ni kawaida sana. Wengine waliosajiliwa Yanga labda Kocha hajawaamini sana. Kwa wenzao Simba team yao msimu uliopita ilikua ya kawaida, ila msimu huu uhakika wa kila mechi kupata magoli ni mkubwa sana. Hadi sasa Okwa, Okra,Phiri, Jedan wote wametupia magoli, na soon anatajwa kuongezwa Manzoki ili kuhakikisha magoli yanaongezeka ili hata kama unafungwa na wewe unafunga kwa wingi inaongeza tija
 
Back
Top Bottom