Kwann wachambuzi wa mchingo hawamuulizii Kambole au kuhoji uwezo wa Joyce na badala yake wanamjadili Dejan tu

Umejibu tofauti na mada iliyoko mezani, kidogo umejibu kwa Aziz K ambae hajafunga goli hata moja na assist kubwa ni ya goli moja kwenye mechi ya ngao ya Jamii, baada ya hapo ni kawaida sana. Wengine waliosajiliwa Yanga labda Kocha hajawaamini sana. Kwa wenzao Simba team yao msimu uliopita ilikua ya kawaida, ila msimu huu uhakika wa kila mechi kupata magoli ni mkubwa sana. Hadi sasa Okwa, Okra,Phiri, Jedan wote wametupia magoli, na soon anatajwa kuongezwa Manzoki ili kuhakikisha magoli yanaongezeka ili hata kama unafungwa na wewe unafunga kwa wingi inaongeza tija
Tufanye Yanga inawachezaji wabovu Simba ipo vizuri ufurahi
 
Umejibu tofauti na mada iliyoko mezani, kidogo umejibu kwa Aziz K ambae hajafunga goli hata moja na assist kubwa ni ya goli moja kwenye mechi ya ngao ya Jamii, baada ya hapo ni kawaida sana. Wengine waliosajiliwa Yanga labda Kocha hajawaamini sana. Kwa wenzao Simba team yao msimu uliopita ilikua ya kawaida, ila msimu huu uhakika wa kila mechi kupata magoli ni mkubwa sana. Hadi sasa Okwa, Okra,Phiri, Jedan wote wametupia magoli, na soon anatajwa kuongezwa Manzoki ili kuhakikisha magoli yanaongezeka ili hata kama unafungwa na wewe unafunga kwa wingi inaongeza tija
Nimejibu kutokana na mtazamo wa mleta mada.

Sio kila sajili zinatakiwa zianze moja moja kwenye kikosi,wengine wanahitaji muda ku prove na kuzoeana na watu waliowakuta,sasa Yanga kashacheza mechi 2 tu ila watu wanataka waone outputs za new transfers.
 
Back
Top Bottom