Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmezidi kuwasema wanaume na wanawake wanakuwa na mwanamme mmoja kabla ya ndoa?/
Gender balance aisee acheni kuwaonea wanaume kila siku ha ha ha ha
kwa sababu product tunayotafuta inapatikana sehemu nyingi! Kwa hiyo ni lazima tukajaribu na hizo sehemu nyingine!!
nimesharudi,si tulienda wote vipi dawa ilikufaa?kisukari umesharudi toka loliondo au?
Kwa mtindo huu change can never begin with YOU
Umejaribu kuyauliza majogoo hapo mtaani kwenu?
Hakuna anayeweza kupingana na kitu nature!
Umeonae? Hiyo ndiyo tabia yetu wanaume. Hamna jinsi, mnalazimika kuikubali.
Sawa eh mama?
Kwanini niwe na mwanamke mmoja?? Ukiona waliokaa na mmoja wanaogopa ukimwi. Hata hivyo, hatunao wengi ila huwa tunaonja tu hatusahau HOME hata siku moja. Hiyo mwaionaje????
wa ziada same as spea tairi na huwezi kumuweka mchezaji subb bila ya kumfanyia majaribio ati!
Unajua VIKOJOLEO bwana vinatofautiana vingne vkubwa,vdogo,vnamaji,vkavu,vrefu,vnafangas,vinanukia maji ya mchele na kadha wa kadha.Jamani nimekosea njia ngoja niludi kwa sred yangu ntarudi kuchek matokeo.wanaume vidume au magumegume?yote ni ubatili
Mmezidi kuwasema wanaume na wanawake wanakuwa na mwanamme mmoja kabla ya ndoa?/
Gender balance aisee acheni kuwaonea wanaume kila siku ha ha ha ha
DA ona hapa chini!
The Following 2 Users Say Thank You to Dena Amsi For This Useful Post:
Wewe umesema. Wanawake wanatuonea sana.