Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Kumekuwa na dhana potofu kuwa Azam na Simba ni maswahiba na kwamba Wanapocheza ushindani hamna kuliko Azam inapocheza na Yanga.Lakn ukifatilia ukweli sio huo, Yanga na Azam ndio zimekuwa kama Pete na kidole, Yanga mara zote walizocheza na Azam pale chamazi wamepata matokeo mazuri, Simba haijawahi kuifunga Azam pale chamazi zaidi ya kubebwa hata wanapounawa kwenye eneo la penati, nimebaini kuna watu pale Azam katika benchi la ufundi na watumishi wa azam wanashirikiana na watu wa kamati ya ufundi ya Yanga kuihujumu Azam.
Steve Yanga na Zakazakaz wachunguzwe!
Steve Yanga na Zakazakaz wachunguzwe!