Kwann Yanga ikicheza Chamazi na Azam inashinda lakini Simba anaambulia sare

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Kumekuwa na dhana potofu kuwa Azam na Simba ni maswahiba na kwamba Wanapocheza ushindani hamna kuliko Azam inapocheza na Yanga.Lakn ukifatilia ukweli sio huo, Yanga na Azam ndio zimekuwa kama Pete na kidole, Yanga mara zote walizocheza na Azam pale chamazi wamepata matokeo mazuri, Simba haijawahi kuifunga Azam pale chamazi zaidi ya kubebwa hata wanapounawa kwenye eneo la penati, nimebaini kuna watu pale Azam katika benchi la ufundi na watumishi wa azam wanashirikiana na watu wa kamati ya ufundi ya Yanga kuihujumu Azam.

Steve Yanga na Zakazakaz wachunguzwe!
 
Uko sahihi mkuu. Zaka za Kazi ni mhujumu mkuu wa Azam . Azam wamchunguze Sana huyu jamaa.
 
Kumekuwa na dhana potofu kuwa Azam na Simba ni maswahiba na kwamba Wanapocheza ushindani hamna kuliko Azam inapocheza na Yanga.Lakn ukifatilia ukweli sio huo, Yanga na Azam ndio zimekuwa kama Pete na kidole, Yanga mara zote walizocheza na Azam pale chamazi wamepata matokeo mazuri, Simba haijawahi kuifunga Azam pale chamazi zaidi ya kubebwa hata wanapounawa kwenye eneo la penati, nimebaini kuna watu pale Azam katika benchi la ufundi na watumishi wa azam wanashirikiana na watu wa kamati ya ufundi ya Yanga kuihujumu Azam.

Steve Yanga na Zakazakaz wachunguzwe!
1) Tuwekee takwimu simba kacheza chamazi vs Azam mara ngapi? Na yanga kacheza chamazi mara ngapi vs Azam?

2) Weka takwimu ya overall ya simba wamekutana na Azam mara ngapi na wamefungwa mara ngapi na Azam, na je Yanga nao ipoje?
 
Simba amecheza mara 2 na azam pale Chamazi na hajashinda hata moja, zote sare za mabao, Yanga kacheza mara 2 na zote kamuua Azam, kumbuka bao la Gadiel Michael
 
Kumekuwa na dhana potofu kuwa Azam na Simba ni maswahiba na kwamba Wanapocheza ushindani hamna kuliko Azam inapocheza na Yanga.Lakn ukifatilia ukweli sio huo, Yanga na Azam ndio zimekuwa kama Pete na kidole, Yanga mara zote walizocheza na Azam pale chamazi wamepata matokeo mazuri, Simba haijawahi kuifunga Azam pale chamazi zaidi ya kubebwa hata wanapounawa kwenye eneo la penati, nimebaini kuna watu pale Azam katika benchi la ufundi na watumishi wa azam wanashirikiana na watu wa kamati ya ufundi ya Yanga kuihujumu Azam.

Steve Yanga na Zakazakaz wachunguzwe!
Aliyesema hayo si yule mchambuzi shoga aliyewahi kuchezea Simba na Azam
Alisema Azam akiwa na mechi na Simba huwa haichukulii serious kama anapokutana na Yanga.

Kwamba eti Azam huwa anajiandaa kufungwa na Simba ila kwa Yanga huwa tofauti.

Hii yote ni kujaribu kuhalalisha hisia zao potofu ambazo huwa zinatawala sana kazi zao.
 
Simba amecheza mara 2 na azam pale Chamazi na hajashinda hata moja, zote sare za mabao, Yanga kacheza mara 2 na zote kamuua Azam, kumbuka bao la Gadiel Michael
Tuletee mechi zote kiujumla za taifa na huko chamazi ndio utakapoona ugumu wa mechi ya Yanga na Azam,Simba huwa anajipigia tu Azam
 
Back
Top Bottom