Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Uko sahihi mkuu. Zaka za Kazi ni mhujumu mkuu wa Azam . Azam wamchunguze Sana huyu jamaa.Kumekuwa na dhana potofu kuwa Azam na Simba ni maswahiba na kwamba Wanapocheza ushindani hamna kuliko Azam inapocheza na Yanga.Lakn ukifatilia ukweli sio huo, Yanga na Azam ndio zimekuwa kama Pete na kidole, Yanga mara zote walizocheza na Azam pale chamazi wamepata matokeo mazuri, Simba haijawahi kuifunga Azam pale chamazi zaidi ya kubebwa hata wanapounawa kwenye eneo la penati, nimebaini kuna watu pale Azam katika benchi la ufundi na watumishi wa azam wanashirikiana na watu wa kamati ya ufundi ya Yanga kuihujumu Azam.
Steve Yanga na Zakazakaz wachunguzwe!
1) Tuwekee takwimu simba kacheza chamazi vs Azam mara ngapi? Na yanga kacheza chamazi mara ngapi vs Azam?Kumekuwa na dhana potofu kuwa Azam na Simba ni maswahiba na kwamba Wanapocheza ushindani hamna kuliko Azam inapocheza na Yanga.Lakn ukifatilia ukweli sio huo, Yanga na Azam ndio zimekuwa kama Pete na kidole, Yanga mara zote walizocheza na Azam pale chamazi wamepata matokeo mazuri, Simba haijawahi kuifunga Azam pale chamazi zaidi ya kubebwa hata wanapounawa kwenye eneo la penati, nimebaini kuna watu pale Azam katika benchi la ufundi na watumishi wa azam wanashirikiana na watu wa kamati ya ufundi ya Yanga kuihujumu Azam.
Steve Yanga na Zakazakaz wachunguzwe!
Simba amecheza mara 2 na azam pale Chamazi na hajashinda hata moja, zote sare za mabao, Yanga kacheza mara 2 na zote kamuua Azam, kumbuka bao la Gadiel Michael1) Tuwekee takwimu simba kacheza chamazi vs Azam mara ngapi? Na yanga kacheza chamazi mara ngapi vs Azam?
2) Weka takwimu ya overall ya simba wamekutana na Azam mara ngapi na wamefungwa mara ngapi na Azam, na je Yanga nao ipoje?
Aliyesema hayo si yule mchambuzi shoga aliyewahi kuchezea Simba na AzamKumekuwa na dhana potofu kuwa Azam na Simba ni maswahiba na kwamba Wanapocheza ushindani hamna kuliko Azam inapocheza na Yanga.Lakn ukifatilia ukweli sio huo, Yanga na Azam ndio zimekuwa kama Pete na kidole, Yanga mara zote walizocheza na Azam pale chamazi wamepata matokeo mazuri, Simba haijawahi kuifunga Azam pale chamazi zaidi ya kubebwa hata wanapounawa kwenye eneo la penati, nimebaini kuna watu pale Azam katika benchi la ufundi na watumishi wa azam wanashirikiana na watu wa kamati ya ufundi ya Yanga kuihujumu Azam.
Steve Yanga na Zakazakaz wachunguzwe!
Ameajiriwa lini !!?? Kabla hajaajiria Azam haikufungwa na Yanga!!??Uko sahihi mkuu. Zaka za Kazi ni mhujumu mkuu wa Azam . Azam wamchunguze Sana huyu jamaa.
Ukiulizwa swali hili; huyo Zaka za kazi anaihujumu vipi Azam?Uko sahihi mkuu. Zaka za Kazi ni mhujumu mkuu wa Azam . Azam wamchunguze Sana huyu jamaa.
Tuletee mechi zote kiujumla za taifa na huko chamazi ndio utakapoona ugumu wa mechi ya Yanga na Azam,Simba huwa anajipigia tu AzamSimba amecheza mara 2 na azam pale Chamazi na hajashinda hata moja, zote sare za mabao, Yanga kacheza mara 2 na zote kamuua Azam, kumbuka bao la Gadiel Michael