Kwanni Trump ameenda Ufaransa wakati hajala kiapo?

Kwanni Trump ameenda Ufaransa wakati hajala kiapo?

Khanji kapoor

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2024
Posts
1,198
Reaction score
2,695
Nimeona beberu Trump yupo kwenye ikulu ya ufaransa wanagonga mvinyo na kina macron na zelewensk

Kwanni wanamruhusu huyu mtu kufanya vikao wakati Biden hajakabidhi kijiti?

Wajuzi mniambie kwann anavunja sheria?
 
Najiuliza pia, kwa nini aende kule kwa kutumia ndege binafsi ya kwake?Je gharama za uendeshaji wa hiyo ndege, iwe mafuta, matengenezo na ulinzi kwa sasa unagaramikiwa na nani, ni yeye au ni serikali?​
 
Watu wanatekwa na kupotezwa katika nchi yenu maskini lakini mnaona poa tu ila mko busy na ya Marekani wakati wamarekani hata hawasemi maovu yenu.
 
Nimeona beberu Trump yupo kwenye ikulu ya ufaransa wanagonga mvinyo na kina macron na zelewensk

Kwanni wanamruhusu huyu mtu kufanya vikao wakati Biden hajakabidhi kijiti?

Wajuzi mniambie kwann anavunja sheria?
Kaenda kwa sababu alialikwa.

Hata yule Rais wa FIFA, Gianni Infantino naye alikuwepo.

Elon Musk naye alikuwepo.

Hata Joe Biden alialikwa lakini yeye hakwenda. Ila mke wake alikuwepo.

Hivyo Trump hakujipeleka tu mwenyewe.

Viongozi na watu wengine maarufu walialikwa.
 
Waambie tu ukweli kuwa walienda kufungua kanisa la katoliki la notre Dame
 
Back
Top Bottom