Khanji kapoor
JF-Expert Member
- Oct 19, 2024
- 1,198
- 2,695
Kaenda kwa sababu alialikwa.Nimeona beberu Trump yupo kwenye ikulu ya ufaransa wanagonga mvinyo na kina macron na zelewensk
Kwanni wanamruhusu huyu mtu kufanya vikao wakati Biden hajakabidhi kijiti?
Wajuzi mniambie kwann anavunja sheria?
Waambie tu ukweli kuwa walienda kufungua kanisa la katoliki la notre DameKaenda kwa sababu alialikwa.
Hata yule Rais wa FIFA, Gianni Infantino naye alikuwepo.
Elon Musk naye alikuwepo.
Hata Joe Biden alialikwa lakini yeye hakwenda. Ila mke wake alikuwepo.
Hivyo Trump hakujipeleka tu mwenyewe.
Viongozi na watu wengine maarufu walialikwa.