Kwanza wanatuchukuliaje hizi TV Station zilizopo nchini zipo kutupa burudani au ilimradi?

Kwanza wanatuchukuliaje hizi TV Station zilizopo nchini zipo kutupa burudani au ilimradi?

KakaKiiza

Platinum Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,952
Reaction score
9,469
Wana Jamvi Heshima yenu.

Mimi nimekuwa nikipenda kutazama station za Television hasa hizi za kulipia za Ndani ya Nchi na za Nje ya Nchi nimegundua kuna utofauti mkubwa sana ,pia nikaja kuona Mamlaka zinzosimamia zimebweteka na kama hazijui majukumu yao.

Nianze na Television Station za Ndani, Unakuta zikiwa na maudhui ya burudani lakini yaliyopitwa na wakati miaka 20 iliyopita na bado wanapromoti tununue visimbuzi kuona hizo tamthilia,hasa katika Burudani.

Azam TV wanaonyesha Tamthilia ya 24hrs inamiaka takirbani miaka 13 hiliyopita sasa katika utandawazi wa sasa kwanini uonyeshe kitu cha zamani?

DSTV wao wanaonyesha tamthilia za muda hata sinema zao ni zamuda sasa niulize je hakuna sheria ya kuwabana kuwa unapotaka kufanya Broadcast intertainment lazima uonyeshe vipindi vipya au burdani mpya?Au wanatuchukuliaje sisi?

Station zingine za TV ndo usiseme hata ZUKU dah ni shida acha tuishi kustreem.
 
Hizo router kwa sisi kajamba nani shida tutaendelea kulishwa Matango poli mpaka mwisho wa dunia.ndo maana mdau kauliza hakuna sheria za kuwabana ili hata sisi tu enjoy pia
Ni ngumus sana mkuu maana wao ndio wenye hizi TV stations pia wale nao watalilimikia kuwa watashindwa kulkpa kodi maaba vpind pendwa havipo hewan
 
Back
Top Bottom