Kwanza wanatuchukuliaje hizi TV Station zilizopo nchini zipo kutupa burudani au ilimradi?

Dstv na azam nani afadhali?
Bora ya Azam maana hata ligi kuu na michezo ya magari utatizama siyo DSTV na ukenge wao na mamovie ya kitambo naona hata aliyenunua ni wa hovyo tu!
 
DSTV naweza kuwatetea zipo latest movie tatizo labda unaweka kifurushi kisicho kidhi haja yako,
Mwezi ujao weka Premium package
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…