Kware: Ufugaji bora wa Kware, Na faida ya bidhaa zitokanazo na Kware

Nauza kware wa umri kati ya miezi 2 hadi 3,bei ni elfu 5 kila mmoja,nicheki hapa 0657666740
 
We deo benjamin, umetoa wapi takwim hizi za dozi ya mayai? Chanzo nn? Vp na wewe unauza? Au ndo kufanya biashara tu huku? Yai linauzwa buku? Watanzania hata M.A.V.I. ukiambiwa ni dawa utanunua/utakula.
 
Chanzo : quailfarm(dot)co(dot)uk

Itaendelea.

Hapo kwenye bold ameandika source, na nimepitia hiyo website ni legit ya wataalam wa tiba mbadala kutoka UK, nadhani wakati unasoma hii makala ulipitiwa kidogo, hukuona
 
na kuhusu soko la uhakika linapatikanaje?namaanisha ukishakuwa nao na unataka kuwauza soko la uhakika linapatikana wapi?
 
Biashara Matangazo mkuu

Kama umesoma biashara kuna kitu kinaitwa P tatu za biashara.

Place - Eneo
Price - Bei
Product - Bidhaa na mwisho
Promotion - Matangazo, kwa hiyo kufanikiwa kwenye biashara yoyote matangazo ni muhimu
 
We deo benjamin, umetoa wapi takwim hizi za dozi ya mayai? Chanzo nn? Vp na wewe unauza? Au ndo kufanya biashara tu huku? Yai linauzwa buku? Watanzania hata M.A.V.I. ukiambiwa ni dawa utanunua/utakula.

quailfarm(dot)co(dot)uk
 
Biashara Matangazo mkuu

Kama umesoma biashara kuna kitu kinaitwa P tatu za biashara.

Place - Eneo
Price - Bei
Product - Bidhaa na mwisho
Promotion - Matangazo, kwa hiyo kufanikiwa kwenye biashara yoyote matangazo ni muhimu

Usikae na bidhaa yako mkononi, julisha ndugu jamaa na marafiki.
 
Back
Top Bottom