Kwaresma ni nini......?
Kwaresma ni kipindi ambacho waamini wakatoliki tunajiandaa kwa ajili ya kuadhimisha mafumbo ya pasaka. (Kifo mateso na ufufuko wa Bwana wetu Yesu Kristo) Katika kipindi hiki sisi waamini tunaalikwa kutazama tulikotoka yaani kuanzia siku ya ubatizo wetu na kujihoji kwa kina kabisa kama bado vile viapo vyetu tulivyo apa siku ya ubatizo wetu tuna vishika bado ama la! Siku ya ubatizo tunapewa nguo nyeupe na mshumaa unaowaka sasa ni wakati wakujiuliza, Je! Ule mshumaa bado unawaka au umezima kutokana na mapungufu yetu? Kama umezima niwakati sasa wa kuuwasha mshumaa tena, pia kama nguo ile nyeupe tuliyo pewa siku ya ubatizo imechafuka ni wakati sasa wa kuifua kwa kiti cha kitubio. Kwa ujumla ni wakati wa kuingia ndani ya moyo wako na kutazama kama kweli bado tunashika sheria na maagizo ya Mungu. Kwa hakika kwaresma ni muda wa kujitakasa, na kujuta na si hivyo tu bali kuwa jirani zaidi na Mungu kwa kutenda matendo mema kama vile kuwasaidia watu, kufunga na kusali.
Reference..
1 Kisha Yesu alipandishwa na Roho nyikani, ili ajaribiwe na Ibilisi.
Mathayo 4 :1
2 Akafunga siku arobaini mchana na usiku, mwisho akaona njaa.
Mathayo 4 :2
Asante Da'Vinc kwa makala yako nzuri.
Kwa maelezo yako ni kuwa kipindi hiki tunapaswa kukumbuka viapo vya ubatizo pamoja na kuukumbuka mshumaa uliowashwa siku ya ubatizo.
Kwa ufaham wangu, asilimia kubwa ubatizo hufanywa kwa watu chini ya umri wa mika 5, ambapo hawajawa hata na uwezo wa kutambua viapo vya ubatizo.
Je watu hawa wanakumbuka nini kipindi hiki wakati walibatizwa wangali wadogo.?
Nadhani ubatizo wa ukubwani ni muhimu sana katika imani kuliko kumbatiza mtu ambaye hajielewi labda iwe ubatizo wa hatari.
Tujadiliane hii imekaaje
Ni kweli mkuu itabidi tujirekebishe[/QUOTE]Wakirustu mpate lakujifunza wenzenu hawajaja hapa kwenye uzi na kebehi na matusi ambayo ni vice versa huu ungekuwa uzi unaohusu Uislamu mubadilike mujiunze kuheshimu dini za wenzenu
Wakatoriki ndio huchukulia uzito suala hili 99% kuliko wengime
asante kwa ujumbe pia ule waraka wa baraza la maaskofu wote utasomwa nchini koteWapendwa katika Kristo
Tumsifu yesu Kristo...
Nawakaribisha waumini wote wa kanisa Catholic na wengine wote wanaoshiriki mateso ya bwana Yesu kristo kwa kufunga na kujielekeza mbele zake MUNGU kipindi hichi cha KWARESMA.
Nawaalika sasa tuweze kutiana moyo, kukumbushana, kufundishana kupitia uzi huu.
Kama una document za kidini weka hapa, nyimbo, picha, sala, miatari ya biblia weka hapa...
Wako katika kristo Da'Vinci..
Tunakimbilia..........
Umejuaje kama hawajafunga? Kufunga kwa wakristu siyo kama ramadhani bali kujinyima kile kitu ukipendacho kwa siku arobaini na kama ulikua unapenda kunua nguo moya kila wiki unaacha kufanya hivyo kwa siku arobaini na ile hela uliyoiokoa unatoa kama sadaka yako kwa wale wasiokuwa na uwezo. Pili umaweza kufunga baada ya kula milo miwili unakula mulo moja iwe mchana ama usiku lakini zile gharama za lazima ukazitoe kama sadaka. Kufunga kwa wakristu siyo kupiga mbiu bali ni juu yako mfungaji na Mungu wako aliyesirini.Toka nizaliwe sijawahi kuona Mkristo alofunga kwaresma hata mmoja, hapa ofisini nilipo wapo kama 10 hivi cha ajabu tumegonga chai pamoja asb na saiz tumegonga lunch. Huko mtaani washkaji zangu (wakristo) wananiuliza wkend tukanywe wapi. 🙁🙁
Umejuaje kama hawajafunga? Kufunga kwa wakristu siyo kama ramadhani bali kujinyima kile kitu ukipendacho kwa siku arobaini na kama ulikua unapenda kunua nguo moya kila wiki unaacha kufanya hivyo kwa siku arobaini na ile hela uliyoiokoa unatoa kama sadaka yako kwa wale wasiokuwa na uwezo. Pili umaweza kufunga baada ya kula milo miwili unakula mulo moja iwe mchana ama usiku lakini zile gharama za lazima ukazitoe kama sadaka. Kufunga kwa wakristu siyo kupiga mbiu bali ni juu yako mfungaji na Mungu wako aliyesirini.
Matthew 16: 16-18
“And when you fast, do not look gloomy like the hypocrites, for they disfigure their faces that their fasting may be seen by others. Truly, I say to you, they have received their reward. But when you fast, anoint your head and wash your face, that your fasting may not be seen by others but by your Father who is in secret. And your Father who sees in secret will reward you.
Ijulikane kwamba hizi zilikua mila za kiyahudi halafu zaidi ya mwanzo wa utumishi wake alupofunga kwa siku 40 hakuna mahali popote ktk biblia panaonyeha alifunga. Na hiyo sura hapo juu kutoka katika injili ya Matayo ni maneno yake yeye Yesu. Soma hapo chini upate uelewa wa siku ya majivu na maana nzima yy kwaresma.Duh na yesu naye alifunga kwa staili hii?
Mbona hujajibu swali unazunguka zunguka kama feni.Ijulikane kwamba hizi zilikua mila za kiyahudi halafu zaidi ya mwanzo wa utumishi wake alupofunga kwa siku 40 hakuna mahali popote ktk biblia panaonyeha alifunga. Na hiyo sura hapo juu kutoka katika injili ya Matayo ni maneno yake yeye Yesu. Soma hapo chini upate uelewa wa siku ya majivu na maana nzima yy kwaresma.
E
What is the significance of the ashes on Ash Wednesday?
Ash Wednesday, the day many Christians mark as the first day of Lent, the time of reflection and penitence leading up to Easter Sunday. ... As they “impose” or “dispense” the ashes, the pastor or priest reminds each Christian of Genesis 3:19: “For dust you are and to dust you shall return.”1
Ndugu yangu huu uzi sio kwa ajili ya mabishanoMbona hujajibu swali unazunguka zunguka kama feni.
Swali limeulizwa je na Yesu alifunga kama mnavyofunga nyie wakristo nyakati hizi?
Yaani Yesu nae katika zile siku zake 40 za kufunga alikua anakula kwa kujinyima kama nyie?