Kwaresma na Pasaka Special Thread

Rafiki yangu shida yako wewe nimegundua kwamba huna elimu kabisa inayo husiana na dini, huenda wewe umesilimishwa dini na mwanamke

Katika mandiko matakatifu biblia na Quran maneno yote ambayo yamo humo ndan siyo ya MUNGU,
Maneno mengine ni ya shetani, mengine ya wayahudi , mengine ya waarabu tu

Mfano ni shetani kuwadanya Adam na hawa, yale si maneno ya MWENYEZI MUNGU bali ni ya shetani

Shida ya waislam wa TANZANIA hamna kabisa elimu ya dini yenu lakini kwa ubishi hamjambo
 
Quran ni maneno ya Allaah aliyoyetemshiwa Mtume Muhammad صلى الله عليه وسلم.
Nimekuletea maneno ya Allaah akieleza kuwa Muhammad ni mtume wake wewe ukasema nimeleta maneno ya wazee wa kiarabu:.
Sasa nakuletea tena Aya 29 ya suuratul fathi na ukirudia kuleta hoja ya kipumbavu Mimi pia ninayo majibu ya kipumbavu yatakayoendana na hoja zako:
Kuhusu utume wa Nabii Muhammad Allaah anasema:
Quran suratu Alfat hu Aya ya 29.

{ مُّحَمَّدٞ رَّسُولُ ٱللَّهِۚ وَٱلَّذِينَ مَعَهُۥٓ أَشِدَّآءُ عَلَى ٱلۡكُفَّارِ
رُحَمَآءُ بَيۡنَهُمۡۖ تَرَىٰهُمۡ رُكَّعٗا سُجَّدٗا يَبۡتَغُونَ فَضۡلٗا مِّنَ ٱللَّهِ وَرِضۡوَٰنٗاۖ سِيمَاهُمۡ فِي وُجُوهِهِم مِّنۡ أَثَرِ ٱلسُّجُودِۚ ذَٰلِكَ مَثَلُهُمۡ فِي ٱلتَّوۡرَىٰةِۚ وَمَثَلُهُمۡ فِي ٱلۡإِنجِيلِ كَزَرۡعٍ أَخۡرَجَ شَطۡـَٔهُۥ فَـَٔازَرَهُۥ فَٱسۡتَغۡلَظَ فَٱسۡتَوَىٰ عَلَىٰ سُوقِهِۦ يُعۡجِبُ ٱلزُّرَّاعَ لِيَغِيظَ بِهِمُ ٱلۡكُفَّارَۗ وَعَدَ ٱللَّهُ ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ وَعَمِلُواْ ٱلصَّٰلِحَٰتِ مِنۡهُم مَّغۡفِرَةٗ وَأَجۡرًا عَظِيمَۢا }

Muhammad ni Mtume wa Mwenyezi Mungu. Na walio pamoja naye wana nguvu mbele ya makafiri, na wanahurumiana wao kwa wao. Utawaona wakiinama na kusujudu wakitafuta fadhila na radhi za Mwenyezi Mungu. Alama zao zi katika nyuso zao, kwa athari ya kusujudu. Huu ndio mfano wao katika Taurati. Na mfano wao katika Injili ni kama mmea ulio toa chipukizi lake, kisha ukalitia nguvu, ukawa mnene, ukasimama sawa juu ya ubuwa wake, ukawafurahisha wakulima, ili kuwakasirisha kwa ajili yao makafiri. Mwenyezi Mungu amewaahidi walio amini na wakatenda mema katika wao msamaha na ujira mkubwa".

Suuratul Alfat hu Aya ya
8
"
{ إِنَّآ أَرۡسَلۡنَٰكَ شَٰهِدٗا وَمُبَشِّرٗا وَنَذِيرٗا }

Hakika tumekutuma wewe (Muhammad ) uwe Shahidi, na Mbashiri, na Mwonyaji",
 
Pia bwana Beira nimekuuliza , Yesu kulingana na biblia alifunga siku 40 usiku na mchana.
Nyinyi andiko la kufunga mchana na kula usiku mumefundishwa na nani?!
 
Maneno yaliyomo kwenye Quran yote ni ya Allaah !
SWALI langu kama maneno yaliyomo kwenye biblia mengine ni ya shetani , wewe ni lini ulikutana na Mungu akakwambia ufunge kwaresma?!
SI Kuna uwezekano habari za Yesu na Musa zilizomo kwenye biblia zote ni uongo uliotengenezwa kwa ajili ya kuwatapeli watu?!
 
Amina Mtumishi.

Neno zuri sana lituongoze kipindi ili tukapate neema na baraka tunazoziomba.
 
Pia bwana Beira nimekuuliza , Yesu kulingana na biblia alifunga siku 40 usiku na mchana.
Nyinyi andiko la kufunga mchana na kula usiku mumefundishwa na nani?!
Bro kuna shida gani kwani?hata ukijibiwa hautaridhika na jibu kwa sababu siyo kitu unachokiamini utazusha mengine na mengine mwisho muanze kuvunjiana heshima.

Hivi hata kwa akili za kawaida wewe unadhani kuna mtu dunia hii anaweza kufunga kama alivyofanya Yesu siku 40?wewe una imani yako sisi tuna imani yetu acha basi tufanye yanayotuhusu wewe kafanye yanayokuhusu kwenye imani yako!
 
Quran ni maneno ya Allah aliyoteremshiwa Muhammad

Swali
Je mtume Muhammad mwenye mika 54 kwenda kuoa kitoto cha miaka 6 nayo yalitelemshwa na Allah?

Swali
Je mtume Muhammad mwenye miaka 25 kwenda kuoa janamke lenye miaka 60 nayo alitelemshiwa na Allah?

Twende pole pole naona wewe jamaa huujui kabisa uislam
 
Pia bwana Beira nimekuuliza , Yesu kulingana na biblia alifunga siku 40 usiku na mchana.
Nyinyi andiko la kufunga mchana na kula usiku mumefundishwa na nani?!
YESU KRISTO mwana wa MUNGU aliye hai
Yule ni kiumbe kingine siyo kama sisi

Swali mtume Muhammad alioa wanawake 16 wewe mbona unaoa wanne tu?
 
Acha kudandia gari ambalo hujui linatoka wapi na linaelekea wapi !, kama hujui mazungumzo yameanzia wapi kaa kimya!
Nipo kwenye mjadala wa muda mrefu na huyu anayejiita Beira boy!
Ni wakristo walioanza kutuchokoza sisi waislamu kuwa eti KWAKUWA SISI WAISLAMU TUNAFUTURU JIONI HALAFU TUNAAMKA SAA 11 KULA DAKU SISI HATUFUNGI ILA TUNABADILI RATIBA YA KULA!
Huu ni ukosoaji dhidi ya ibada yetu sasa kuna tatizo gani kuelezea kuwa funga yenu ya kwaresma ni funga ya kizushi kwa kuwa haiendani na mafundisho ya Yesu kristo aliyewataka mjifumge nira yake na kujifunza toka kwake ?!
Yesu kiongozi wenu kafunga siku 40 usiku na mchana kama nyinyi mnamfuata Yesu kwelikweli kwanini msifunge usiku na mchana?!
 
Yesu alifunga siku 40 usiku na mchana! Nyie hilo andiko linalowaruhusu kufungua saa 12 jioni mumepata wapi?!
Maswali yako ni mazuri sana rafiki yangu maana ni ya kibiblia kabisa

Sasa kesho nitaanza kukujibu moja baada ya jingine

Kama Kuna mengine wewe ongeza tu rafiki yangu

Yaweke katika mtiririko mzuri
 
Mbona wewe mimi nikikuuliza maswali hujibu unakimbilia kunitukana tu
 
Uzi ulikuwa vizuri tu sasa hayo mabishano yenu ya Bibilia na Quran yanaharibu Uzi. Kila mtu Yuko sahihi kwa Imani Yake na mafundisho Yake acheni kubishana waku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…