Kwasababu CCM wanapenda uongo na magoli ya mikono, COVID-19 haipendi uongo itawaondoa madarakani!

Inaondolewa na nani sasa?
 
Nchi gani ya Africa imedhibiti corona mkuu!!?
Eti tutakua supplier wa corona dah yamefikia hadi huko....
we are on the right track
 
Yan hii corona kwa ccm ni own goal zuri tu.. watu hua tunaangalia current situation..sasa hivi hata ukiniambia mambo ya standard gauge sielewi...zaidi zaidi nitakuuliza kwenye corona umefanya nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee hiki kiumbe kimezid na kwa umri wake ule lolote linawezekana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo maana ni lazima wananchi wapewe haki ya kusikiliza mawazo mbadala!

Ni kweli kabisa hakuna mpango wowote as if hili janga litapotea kimuujiza!

Sidhani kama kuna mwananchi atakubalina na mawazo haya ya ccm na ukichanganya na usiri wao, kuna uwezekano ikifikia uchaguzi wakafanya makusudi kuzuia watu majumbani. Nimejiuliza sana nia ya mwenyekiti wao sijaijuwa.

Kuna uwezekano mkubwa kabisa kuwa mawazo tofauti na haya yakatusaidia kupunguza maambukizi, kuokoa maisha ya watanzania wenzetu na pia uchumi vile vile.

A do nothing policy won’t help. Haswa ukizingatia mwenyekiti wao kajificha chattle.
 
Hakuna plan yoyote iliyoko mezani. Hata ile siku nadhani mwenyekiti wa chadema alitaka kuzungumza akazuliwa, na yeye ndo akaja akasema Chlorine haiuwi virusi wa corona, kwamba kujifukiza kunatosha. Halafu pia ile ethyl ethanol si pombe tu. Sasa watu wanafakamia K-Vant na konyagi na kunawa nazo kama sanitizers.

Sasa sijui hawaruhusiwi kuongea kwasababu gani? Wapinzani waje na mawazo mbadala hili gonjwa liko na sisi kwa muda na kwa style iliyopo na ccm ilivyo, tutamalizwa!

Nashangazwa sana na wale wafia chama wanaodai eti mbona huko kwengine wanakufa na hatua wamechukuwa? Kwa taarifa yao, kama hatua zozote zisingechukuliwa kama sisi, wangekufa malaki kama siyo mamilioni ya wananchi wao!

Hakuna mpango wowote ama mkakati wa jinsi tutakavyojikwamuwa na kuurudusha uchumi wetu kwenye hali ya kawaida ama nzuri.
 
Uko sahihi kiongozi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm nadhani hili gonjwa litatumaliza unless no 1 abadili msimamo. Na msimamo haiwezi kubadilishwa. Nadhan kuna mahesabu (raman) yamepigwa mezani ndo yameleta haya tunayoyaona. Lkn mm nasema Mungu wetu hawezi kufumba macho na masikio kwa vilio vya mamilioni ya watu kwa faida ya kikundi.

Mara nyingi falme mbalimbali zilifutika uso wa dunia kwa mistake ndogo ambayo yalizaa kaburi lao.

Muda ni jaji mzuri utasema.
 
Hata bila Covid-19.....kwani wtz wanachaguaga ccm? Goli la mkono, Dolla, na wakurugenzi kuamriwa kutotangaza wapulinzani ndio sababu ya ushindi wanccm
Uchaguzi ukiwa huru na haki hawa mbwa kwa miakabmitano wamefanya kazi ya kuharibu uchumi wa nchi....

HAKUJA MKULIMA, MFANYAKAZI,MFANYABIASHARA AU MWANAFUNZI ANAYEWEZA KUICHAGUA CCM MAANA WOTE NI WAHANGA WA AWAMU HII CHAFU NA DOUBLE STANDARDS....
 
Ccm iondolewe madarakani na nani?

Chadema [emoji3][emoji3][emoji3]

Vijana acheni mbege za marangu zinaharibu ubongo
[emoji23][emoji23][emoji23] iki kizazi kinasikitisha wana bwiya mataputatu sana

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Wale waliokuwa hawaamini kuwa ccm ni waongo, wale waliobakia, wengine wanalalamika ndugu zao kuzikwa na huku taarifa ni watu kumi tu ccm wametoa.
 
Anguko la ccm litakuwa ni tukio muhimu sana kwenye kalenda yetu

Yaani litakuwa kama vlle Nchi yetu imepata uhuru kwa mara ya pili tukio muhimu pengine kuliko matukio yote yaliyopita

Wajukuu watakuwa wakihadithiwa lkwamba baada ya kuupata uhuru kutoka kwa mkoloni lilikuja genge ambalo liliiteka nchi yetu nyara

Genge hilo liliitwa ccm liliuza kila kitu na lilituingiza kwenye madeni yasiyolipika liliharibu uchumi na kuuwa watu kwa sumu na kwa risasi


Freedom is coming
 
Subiri mavuvuzela wakujibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale waliokuwa hawaamini kuwa ccm ni waongo, wale waliobakia, wengine wanalalamika ndugu zao kuzikwa na huku taarifa ni watu kumi tu ccm wametoa.

Sema ndugu zako wamekufa wangapi na hawajatangazwa au wanaumwa na sio kila siku kuwasemea watu ambao hawajulikani walipo, na kama wapo acha waseme wenyewe kuwa ndugu zao wanakufa ila hawatangazwi, na sio wewe, maana huna ushahidi, na kama unao weka hapa tuuone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…